Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akizungumza na Viongozi mbalimbali, Wafanyakazi wa Mahakama, Majaji pamoja na wananchi wa mkoa wa Dodoma katika kilele cha maadhimisho ya siku ya sheria nchini na miaka 100 ya Mahakama Kuu yaliyofanyika katika viwanja vya Chinangali jijini Dodoma leo …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: February 1, 2021
SASA NI MEGAWATI 580 ZINGINE KUTOKA RUHUDJI NA RUMAKALI – WAZIRI KALEMANI
Waziri wa Nishati, Dkt. Medard Kalemani akiwa Mkoani Njombe Januari 30, 2021 amesema kuwa, Serikali imeanza maandalizi ya ujenzi wa miradi miwili mikubwa ya kufua umeme wa jumla ya megawati 580 kwa njia ya maji ambayo ni, Mradi wa Ruhudji na Mradi wa Rumakali yote kwa pamoja ikiwa Mkoani Njombe.Alieleza …
Soma zaidi »DKT. KALEMANI: TUMEKUSUDIA KUZALISHA UMEME WA JOTOARDHI
Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani ameeleza kuwa mikoa ya Mbeya na Songwe inavyanzo vya nishati ya jotoardhi vyenye uwezo wa kuzalisha megawati 165 za umeme nishati ya jotoardhi. Amesema hayo alipotembelea eneo la majimoto lililoko wilaya ya Mbozi Mkoani Songwe. Ameeleza kuwa miradi ya kipaumbele ya Kampuni ya Uendelezaji …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI MABULA AWABANA WATENDAJI SEKTA YA ARDHI KUONGEZA KASI UTOAJI HATI
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amewataka Watendaji wote wa sekta ya ardhi katika halmashauri kushiriki zoezi la kuandaa hati za ardhi ili kuongeza kasi ya utoaji hati katika maeneo mbalimbali nchini. Dkt Mabula ametoa agizo hilo mwishoni mwa wiki alipozungumza na wataalamu wa …
Soma zaidi »