Maktaba ya Kila Siku: February 4, 2021

WAZIRI MKUU ATOA SIKU TATU RIPOTI YA WATUMISHI WANAOISHI NJE YA VITUO VYAO IMFIKIE

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameipa Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI) ifuatilie Halmashauri zilizopaswa kuhamia kwenye maeneo yake na impatie taarifa ifikapo Jumamosi, Februari 6, 2021. Waziri Mkuu ametoa agizo hilo leo (Alhamisi, Februari 4, 2021) wakati akijibu swali la mbunge wa Geita Vijijini, Joseph …

Soma zaidi »

RAIS MAGUFULI AFUNGUA MAJENGO YA MAKAO MAKUU YA JESHI LA MAGEREZA PAMOJA NA MIRADI MINGINE YA JESHI HILO MKOANI DODOMA

Taaswira ya Makao Makuu ya Jeshi la Magereza yaliyopo Msalato mkoani Dodoma. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akiwahutubia Maafisa na Askari Magereza mara baada ya kufungua Majengo ya Makao Makuu ya Jeshi hilo Msalato mkoani Dodoma. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania …

Soma zaidi »

BALOZI BRIGEDIA GENERALI IBUGE AFANYA MAZUNGUMZO NA BALOZI LUVANDA

Balozi Brigedia Generali Wilbert Ibuge,Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mheshimiwa Baraka Luvanda Balozi wa Tanzania nchini India katika ofisi za Wizara zilizopo Mtumba, jijini Dodoma.   Mazungumzo hayo yalilenga kubadilishana mawazo na uzoefu baina yao kuhusu masuala mbalimbali …

Soma zaidi »

AGIZO LA WAZIRI NDAKI LAZIDI KUSHIKA KASI, WENGINE ZAIDI MBARONI, UTOROSHAJI WA MIFUGO

Na. Edward Kondela Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga kwa kushirikiana na Wizara ya Mifugo na Uvuvi pamoja na vyombo vingine vya ulinzi na usalama limewakamata watuhumiwa wawili wa utoroshaji wa mifugo maeneo ya mipakani. Kwa mujibu wa taarifa aliyotoa (02.02.2021), Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Kamishna Msaidizi wa …

Soma zaidi »

TAASISI ZA FEDHA NCHINI ZA AHIDI KUTOA MTAJI KUFUFUA TAFICO

Taasisi za fedha nchini zimeipongeza Serikali kwa maamuzi ya kulifufua Shirika la Uvuvi Tanzania (TAFICO) na kulipa tena nafasi ya kuweza kusimamia mnyororo wa thamani wa zao la Samaki huku wakiahidi kutoa mtaji ili kuliimarisha shirika hilo.  hayo yalisemwa na Mkurugenzi Mtendaji, Benki ya Maendeleo ya Kilimo (TADB), Japhet Justine …

Soma zaidi »

WIZARA YA MAWASILIANO YAWAKABIDHI WAKANDARASI MIKATABA YA SHILINGI BILIONI 7.5

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Dkt. Faustine Ndugulile (wa tatu kulia) akishuhudia Makabidhiano ya mkataba ya kazi ya ujenzi, uwekaji na usimikaji wa majina ya mitaa/barabara na namba za nyumba katika halmashauri 12 nchini, baina ya Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Zainab Chaula(wa tatu kushoto) na …

Soma zaidi »