Na Munir Shemweta, WANMM Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amezindua Kampeni Maalum ya kuhamasisha ulipaji kodi ya Pango la Ardhi yenye kauli mbiu inayosema MWAMBIE MMILIKI WA ARDHI, KODI YA PANGO LA ARDHI INAMHUSU. Katika kampeni hiyo, Maafisa Ardhi na Wajumbe wa Serikali …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: February 8, 2021
RAIS WA ZANZIBAR DK. HUSSEIN ALI MWINYI AMTEMBELEA RAIS MSTAAFU DK. ALI MOHAMED SHEIN
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi AlhajDk. Hussein Ali Mwinyi akimsalimia Rais Mstaaf wa Zanzibar Awamu yaSaba Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, alipowasili nyumbani kwake KibeleWilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kwa ajili ya kumsalimia nakuzungumza naye. Rais Mstaafu wa Zanzibar Awamu ya Saba Alhaj Dk. …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI SILINDE ATEMBELEA SHULE ZA TUMAINI NA MILADE SINGIDA
Naibu waziri wa TAMISEMI David Silinde amefanya ziara ya kushtukiza katika shule za Tumaini sekondari iliyopo wilaya ya Iramba na shule ya msingi Milade iliyopo wilaya ya mkalama mkoani Singida kufatilia maagizo yake aliyoyatoa mwezi December 2020. Naibu waziri Silinde ameridhishwa na ujenzi wa madarasa,mabweni na bwalo katika shule ya …
Soma zaidi »TANZANIA YAWASILISHA OMBI MAALUM AU
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania pamoja Jamhuri ya Afrika Kusini zimewasilisha ombi maalumu kwa Umoja wa Afrika kuzitambua rasmi njia zilizotumika na wapigania uhuru kutoka Dar es Salaam kupitia nchi mbalimbali Kusini Mwa Bara la Afrika hadi Namibia kuwa urithi wa Kimataifa. Ombi hilo limewasilishwa na Rais wa …
Soma zaidi »DKT. KALEMANI ASEMA CORONA HAIJAATHIRI UPATIKANAJI WA MAFUTA NCHINI
Zuena Msuya Dar es Salaam, Waziri wa Nishati Dkt. Medard Kalemani amewatoa hofu watanzania kwa kusema kuwa tishio la virusi vya ugonjwa wa corona halijaathiri upatikanaji wa mafuta nchini. Aidha kuna ziada ya mafuta itakayotumika zaidi ya siku 30 na bado meli zinaendeleapakuwa mafuta bandarini. Dkt. Kalemani alisema hayo Jijini …
Soma zaidi »