RAIS WA ZANZIBAR DK. HUSSEIN ALI MWINYI AMTEMBELEA RAIS MSTAAFU DK. ALI MOHAMED SHEIN Matokeo ChanyA+ February 8, 2021 ZANZIBAR Acha maoni 586 Imeonekana Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi AlhajDk. Hussein Ali Mwinyi akimsalimia Rais Mstaaf wa Zanzibar Awamu yaSaba Alhaj Dk. Ali Mohamed Shein, alipowasili nyumbani kwake KibeleWilaya ya Kati Mkoa wa Kusini Unguja kwa ajili ya kumsalimia nakuzungumza naye. Rais Mstaafu wa Zanzibar Awamu ya Saba Alhaj Dk. Ali MohamedShein akizungumza na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza laMapinduzi Alhaj Dk. Hussein Ali Mwinyi alipofika nyumbani kwake Kibelekwa ajili ya kumjulia hali na kuzungumza naye. (Picha na Ikulu.) Ad Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest