MAKAMU WA RAIS SAMIA AKAGUWA UTEKELEZAJI MIRADI YA MAJI MKOA DAR ES SALAAM

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, akitoa maagizo kuhusu kuchukuliwa hatua kwa mtu anaetiririsha Maji ya Choo katika Mradi wa Kingo za Mto Ng’ombe Wilaya ya Kinondoni alipokuwa katika ziara ya kutembelea na kukagua Utekelezaji wa Miradi mbalimbali ya Maji  na Mazingira Mkoa wa Dar es salaam leo Febuari 13,2021. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisalimiana na Wanafunzi wa Shule ya Sekondari Pugu Juu baada ya kuzindua Mradi wa Maji safi na Salama katika Eneo hilo leo Febuari 13, 2021. Makamu wa Rais Yupo katika ziara ya kikazi ya siku mbili kutembelea na kukagua Utekelezaji wa Miradi mbalimbali ya Maji  na Mazingira Mkoa wa Dar es salaam leo Febuari 13, 2021.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizindua Mradi wa Maji safi na Salama na Mazingira katika Eneo la Usambazaji Maji Kisarawe, Pugu na Gongolamboto Mkoa wa Dar es salaam leo Febuari 13, 2021. Makamu wa Rais yupo katika ziara ya siku mbili ya kikazi ya  kutembelea na kukagua Utekelezaji wa Miradi mbalimbali ya Maji  na Mazingira katika Mkoa wa Dar es salaam leo Febuari 13,2021. katikati ni Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Awesu, kushoto ni Mtendaji Mkuu wa DAWASA Cyprian Luhemenja.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akitoa maagizo kuhusu kuchukuliwa hatua kwa mtu anaetiririsha Maji ya Choo katika Mradi wa Kingo za Mto Ng’ombe Wilaya ya Kinondoni alipokuwa katika ziara ya kutembelea na kukagua Utekelezaji wa Miradi mbalimbali ya Maji  na Mazingira Mkoa wa Dar es salaam leo Febuari 13,2021. (Picha na Ofisi ya Makamu wa Rais)
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia Tangi la Maji safi na Salama alipokuwa katika ziara ya kutembelea na kukagua Utekelezaji wa Miradi mbalimbali ya Maji  na Mazingira katika Eneo la Usambazaji Maji Kisarawe, Pugu na Gongolamboto Mkoa wa Dar es salaam leo Febuari 13,2021. katikati ni Waziri wa Maji Mhe. Jumaa Awesu, kushoto ni Mtendaji Mkuu wa DAWASA Cyprian Luhemenja.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiangalia kazi ya Ulazaji na Usambasaji wa Mabomba ya Maji Safi na Salama katika Eneo la Pugu na Gongolamboto Mkoani  Dar es salaam leo Febuari 13, 2021. Makamu wa Rais yupo katika ziara ya siku mbili ya kikazi ya  kutembelea na kukagua Utekelezaji wa Miradi mbalimbali ya Maji  na Mazingira katika Mkoa wa Dar es salaam leo Febuari 13,2021. wa pili kulia ni Mtendaji Mkuu wa DAWASA Cyprian Luhemeja.
Ad

Unaweza kuangalia pia

BANDARI YA DAR ES SALAAM INAPANUKA NA KUIMARIKA: HATUA MUHIMU KWA UCHUMI WA TANZANIA

Bandari ya Dar es Salaam ni kitovu muhimu cha biashara na uchumi wa Tanzania, na …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *