Waziri Kilimo Prof Adolf Mkenda leo ameanza ziara ya kikazi wilayani Mvomero kwa lengo la kukagua miradi ya umwagiliaji na hali ya uzalishaji sukari kwenye kiwanda cha Mtibwa pamoja na kuongea na wakulima. Awali akongea na watumishi wa halmashauri ya wilaya ya Mvomero Prof.Mkenda amewataka waendelee kusimamia kazi za kilimo …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: February 16, 2021
WAITARA AWATAKA NEMC KUFANYA UTAFITI NA KUDHIBITI KUONGEZEKA KWA KINA CHA MAJI YA MAZIWA MKOANI SINGIDA
Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Mwita Waitara (katikati) akiwa katika kikao na maafisa mazingira (hawapo pichani) kutoka Wilaya na Manispaa ya Singida kwa lengo la kuwapa maelekezo mbalimbali. Wengine kuanzia kushoto ni Mwenyekiti wa Halmashauri ya Wilaya ya Singida Mhe. Elia Digha, Mkuu wa …
Soma zaidi »WAZIRI MHAGAMA ATAKA MAAFISA KAZI NCHINI KUTATUA MIGOGORO KWENYE MAENEO YA KAZI
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Watu Wenye Ulemavu Jenista Mhagama amewataka maafisa kazi nchini kutatua migogoro inayojitokeza katika maeneo ya kazi huku akieleza kuwa Serikali haitasita kuchukua hatua za kisheria kwa maafisa kazi watakaoshindwa kutekeleza wajibu wao. Waziri Mhagama, aliyasema hayo hii …
Soma zaidi »WAZIRI UMMY MWALIMU AFANYA MAZUNGUMZO NA MWAKILISHI MKAZI WA WFP
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Ummy Mwalimu hii leo amekutana na kufanya mazungumzo na Mwakilishi Mkazi wa Shirika la Chakula Duniani (WFP) Bi. Sarah Gordon – Gibson katika Ofisi ndogo ya Makamu wa Rais Jijini Dar es Salaam. Katika mazungumzo yao wamekubaliana kushirikiana …
Soma zaidi »