Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiongoza kutoa heshima za mwisho kwa aliyekuwa Katibu Mkuu Kiongozi Mhandisi Balozi John William KijaZi katika viwanja vya Karimjee jijini Dar es salaam leo Ijumaa Februari 19, 2021 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: February 19, 2021
VIONGOZI USHIRIKA LINDENI MALI ZA UMMA- KATIBU MKUU KUSAYA
Viongozi wa Vyama vya Ushirika nchini wametakiwa kutumia njia mbadala kulipa madeni ya wanaushirika badala ya kuuza mali ili kulipa madeni hayo.Kauli hiyo imetolewa na Katibu Mkuu Wizara ya Kilimo Gerald Kusaya alieanza ziara ya kikazi ya siku tatu ( 18.02.2021) mkoani Kilimanjaro ambapo amebaini changamoto ya uwepo wa madeni …
Soma zaidi »WANAOKWAMISHA KUAZISHWA KWA VIWANDA VINGI VYA KUCHAKATA MIWA NCHINI WAONYWA
Serikali imebaini uwepo wa mkakati wa kukwamisha kuanza kwa ujenzi wa viwanda vingi vya kuchakata miwa ya wakulima ili nchi isijitosheleze kwa uzalishaji wa sukari nchini .Hivyo imewaonya watu wenye nia hiyo pamoja na viwanda vya sukari vinavyoshiriki kukwamisha kuanzishwa kwa viwanda vingi vya kuchakata miwa kuacha mara moja njama …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI WA MAJI AZINDUA MRADI WA MAJI KWIMBA MKOANI MWANZA
Naibu Waziri Maryprisca Mahundi akimtua ndoo mama kichwani katika kijiji cha Mwabaratulu Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba ikiwa ni ishara ya kumalizwa kero ya maji katika Kijiji hicho. Naibu Waziri wa Maji Mhandisi Maryprisca Mahundi (Mb)amezindua mradi wa maji Kijiji cha Mwabaratulu Halmashauri ya Wilaya ya Kwimba Mkoani Mwanza ulioghalimu …
Soma zaidi »MABALOZI ‘WAMLILIA’ MAALIM SEIF SHARIF HAMAD
Mabalozi mbalimbali wanaowakilisha nchi zao hapa nchini, ‘wamemlilia’ Makamu wa Kwanza wa Rais Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad na kumuelezea kwa mema aliyoyafanya enzi za uhai wake hapa duniani. Mabalozi hao wamewasili katika Ofisi Ndogo za Wizara jijini Dar es Salaam kwa nyakati tofauti kwa ajili ya kusaini kitabu cha …
Soma zaidi »