Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kufungua Kituo Kikuu cha Mabasi ya Mikoani na Nje ya Nchi kilichopo Mbezi Luis Jijini Dar es Salaam leo tarehe 24 Februari 2021.Viongozi wengine katika picha ni Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo, Mkuu wa Mkoa wa …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: February 24, 2021
RAIS MAGUFULI AFUNGUA RASMI DARAJA LA JUU LA UBUNGO (KIJAZI INTERCHANGE) JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kufungua Daraja la Juu katika Makutano ya Barabara za Ubungo (Kijazi Interchange) Ubungo jijini Dar es Salaam leo tarehe 24 Februari 2021. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akivuta kamba …
Soma zaidi »DKT. KALEMANI AAGIZA UJENZI WA KITUO CHA UMEME IFAKARA UANZE NDANI YA SIKU KUMI
Waziri wa Nishati, Dkt.Medard Kalemani, amemuagiza mkandarasi, kampuni ya AEE POWER EPC S.A.U kuanza ujenzi wa kituo kipya cha kupoza umeme katika Mji wa Ifakara ndani ya siku Kumi, ili kuimarisha hali ya upatikanaji umeme katika Wilaya ya Kilombero pamoja na Ulanga mkoani Morogoro. Dkt.Kalemani ametoa agizo hilo tarehe 23 …
Soma zaidi »BYABATO: NJOONI MUWEKEZE SINGIDA UMEME UPO WA KUTOSHA
Naibu Waziri wa Nishati, Wakili Stephen Byabato, amewataka wawekezaji Duniani kote kuja kuwekeza mkoani Singida kwakuwa kuna Umeme mwingi wakutosha na wa uhakika. Alisema hayo alipokuwa akizungumza wakati wa Uzinduzi wa Mwongozo wa Uwekezaji mkoani Singida, uliofanyika Februari 23, 2021. Wakili Byabato alisema kuwa, kwa sasa mkoa huo unazalisha umeme …
Soma zaidi »HALMASHAURI YA CHALINZE YAKABIDHI VITI-MWENDO 10 KWA WATOTO WENYE ULEMAVU
Halmashauri ya Chalinze yakabidhi Viti-Mwendo 10 kwa watoto wenye Ulemavu. Akizungumza kwenye makabidhiano hayo Mbunge wa Jimbo la Chalinze kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ridhiwani Kikwete amewashukuru watendaji wa Halmashauri kwa utekelezaji wa maagizo yanayotolewa kwenye vikao. Mbunge Kikwete amepongeza hatua hiyo ya kufikia malengo ya Serikali ya kuhakikisha kila …
Soma zaidi »