RAIS MAGUFULI AFUNGUA KITUO KIKUU CHA MABASI YA MIKOANI KILICHOPO MBEZI LUIS JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli akikata utepe kufungua Kituo Kikuu cha Mabasi ya Mikoani na Nje ya Nchi kilichopo Mbezi Luis Jijini Dar es Salaam leo tarehe 24 Februari 2021.Viongozi wengine katika picha ni Waziri wa TAMISEMI Selemani Jafo, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Abubakar Kunenge, Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Bashiru Ally Kakurwa, Katibu Mwenezi wa CCM Humphrey Polepole wakishuhudia tukio hilo.
Taaswira ya Kituo Kikuu cha Mabasi ya Mikoani na Nje ya nchi kilichopo Mbezi Luis Jijini Dar es Salaam ambacho leo tarehe 24 Februari 2021 kimefunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli. Kituo hiki kitakuwa na uwezo wa kuhudumia Mabasi 3,456 kwa siku, abiria 224,000 kwa siku, uwezo wa kuegesha magari madogo zaidi ya 280, Mabasi 1000 wakati wa usiku, Ofisi za Mabenki, Hoteli, Ofisi za Uhamiaji, Maduka pamoja na Ofisi mbalimbali-
Taaswira ya Kituo Kikuu cha Mabasi ya Mikoani na Nje ya nchi kilichopo Mbezi Luis Jijini Dar es Salaam ambacho leo tarehe 24 Februari 2021 kimefunguliwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. John Pombe Magufuli.
Kituo hiki kitakuwa na uwezo wa kuhudumia Mabasi 3,456 kwa siku,  abiria 224,000 kwa siku, uwezo wa kuegesha magari madogo zaidi ya 280, Mabasi 1000 wakati wa usiku, Ofisi za Mabenki, Hoteli, Ofisi za Uhamiaji, Maduka pamoja na  Ofisi mbalimbali-   PICHA NA IKULU
Ad

Unaweza kuangalia pia

BANDARI YA DAR ES SALAAM INAPANUKA NA KUIMARIKA: HATUA MUHIMU KWA UCHUMI WA TANZANIA

Bandari ya Dar es Salaam ni kitovu muhimu cha biashara na uchumi wa Tanzania, na …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *