Maktaba ya Kila Siku: March 1, 2021

RUANGWA YATOA MIKOPO YA VIFAA VYA SH. MILIONI 357 KWA WAJASIRIAMALI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amekabidhi vifaa mbalimbali vyenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 357 kwa vikundi vitano vya wajasiriamali vilivyotolewa kwa mkopo na Halmashauri ya wilaya ya Ruangwa ikiwa ni asilimia 10 ya mapato ya ndani ya halmashauri.  Pia, Waziri Mkuu amepokea msaada wa madawati 100 yenye thamani ya …

Soma zaidi »

JIMBO LA CHALINZE KUJENGWA KITUO CHA HUDUMA ZA MATIBABU YA DHARURA

Na. Andrew Chale, Chalinze Jimbo la Chalinze linatarajiwa kujengwa jengo la kituo cha huduma za Matibabu ya Dharura ‘Emergency Department’ litakalosaidia Watanzania mbalimbali ikiwemo wa wanaotoka Mikoa jirani ikiwemo ya Tanga, Morogoro, Dar es Salaam pamoja na Pwani kupatiwa huduma za haraka na za kibingwa pindi wapatapo shida za ajali …

Soma zaidi »