Maktaba ya Kila Siku: March 2, 2021

WAZIRI MHAGAMA ATATUA KERO ZA WAFANYAKAZI KATIKA SHAMBA LA MKONGE LA KIGOMBE ESTATE

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Sera, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Jenista Mhagama ametatua kero na changamoto zilizokuwa zikiwakabili wafanyakazi wa Shamba la Mkonge la Kigombe Estate, Wilayani Muheza dhidi ya mwajiri wao kufuatia malalamiko ambayo yaliwasilishwa wakati wa ziara ya Waziri …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI KATAMBI ATAKA WAAJIRI KUZINGATIA SHERIA ZA KAZI KATIKA MAENEO YAO YA KAZI

Waajiri na wamiliki wa makampuni wameaswa kuzingatia sheria za kazi katika maeneo yao ya kazi ili waweze kuboresha mazingira ya utendaji kazi utakaoleta tija na ufanisi katika maeneo ya kazi. Kauli hiyo ametolewa na Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Kazi, Vijana na Ajira Mhe. Patrobas Katambi …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI KUNDO – SERIKALI INABORESHA MIUNDOMBINU YA MAWASILIANO

Naibu Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari (ICT) – Mhe. Mhandisi. Andrea Mathew Kundo amemwagiza Mkuu wa Kanda wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), Kanda ya Mashariki kushughulikia haraka maombi ya Halmashauri ya Chalinze ya kuimarisha MIundombinu ya mawasiliano ikiwemo kupatiwa kibali cha Masafa ya radio (radio frequency) na …

Soma zaidi »