Maktaba ya Kila Siku: March 3, 2021

WAZIRI WA NISHATI AWEKA JIWE LA MSINGI UJENZI WA KITUO CHA KUPOZA UMEME SIMIYU

Na Zuena Msuya, Simiyu Waziri wa Nishat, Dokta Medard Kalemani ameweka jiwe la msingi na kuzindua Ujenzi wa Kituo cha Kupoza Umeme cha Imalilo kilichopo wilayani Bariadi mkoani Simiyu. Akizungumza wakati wa akiweka jiwe la Msingi, Machi 3, 2021,Dkt. Kalemani amesema kuwa Ujenzi wa kituo hicho utakamilika ndani ya kipindi …

Soma zaidi »

WAZIRI MKUU MAJALIWA: TPA IMARISHENI USIMAMIZI WA ‘FLOW METER’

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa ameiagiza Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) ihakikishe inaendelea kuimarisha usimamizi wa mitambo ya mita za upimaji wa mafuta (Flow Meter) ili kudhibiti upotevu wa mapato ya Serikali. Pia, Waziri Mkuu amesema Serikali inataka kuona makusanyo yote ya mapato kutoka katika bandari zote nchini yanayokusanywa na TPA …

Soma zaidi »

MATENGENEZO YA MITAMBO YA UMEME NCHI NZIMA YAKAMILIKE NDANI YA SIKU TANO – DKT. KALEMANI

Na Teresia Mhagama, Dar es Salaam Waziri wa Nishati, Dkt.Medard Kalemani ameagiza kuwa, matengenezo ya mitambo mbalimbali ya kufua umeme nchini yakamilike ndani ya siku Tano ili kuhakikisha kuwa wananchi wanapata umeme wa uhakika. Dkt. Kalemani ametoa agizo hilo tarehe 2 Machi, 2021 mkoani Dar es Salaam,  mbele ya Bodi …

Soma zaidi »