Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akifungua na kufunga mkutano Mkuu wa tatu wa Wanawake katika Uongozi kwa mwaka 2021 na Mahafali ya 4,5,6 ya Programu ya Mwanamke wa Wakati Ujao leo March 04,2021 katika Ukumbi wa Serena Jijini Dar es salaam, ambapo …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: March 4, 2021
WAGONJWA WANNE WA MOYO WAWEKEWA KIFAA CHA KUSADIA MOYO KUFANYA KAZI
Wagonjwa wanne wenye matatizo ya kutanuka kwa moyo, uwezo wa moyo kusukuma damu kuwa chini ya asilimia 50, mfumo wa umeme wa moyo kuwa na shida iliyopelekea moyo kutokufanya kazi sawasawa wamewekewa kifaa cha kuusadia moyo kufanya kazi vizuri kijulikanacho kitaalamu kwa jina la Cardiac Resynchronization Therapy Device – CRT-D. …
Soma zaidi »RC KUNENGE APOKEA MAGARI 20 NA KONTENA 65 ZA KUHIFADHI TAKA
Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Aboubakar Kunenge March 03 amepokea Magari 20 na Kontena 65 za kuhifadhi taka zenye thamani ya Shilingi bilioni 4.1 ambapo amewahimiza wakazi wa Dar es salaam kuhakikisha wanazingatia suala la usafi wa mazingira.Akipokea Magari hayo kwenye Bandari ya Dar es salaam, RC Kunenge …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI KATAMBI AHIMIZA WAGENI WALIOAJIRIWA NCHINI KURITHISHA UJUZI KWA WAZAWA
Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu anayeshughulikia masuala ya Kazi, Vijana na Ajira Mhe. Patrobas Katambi amewataka wageni walioajiriwa nchini kwenye miradi mbalimbali ikiwemo ya kimkakati kuhakikisha wanatekeleza mpango wa urithishaji ujuzi “Succession Plan” kwa wafanyakazi wazawa kama inavyoelekezwa kwenye Sheria ya kuratibu Ajira kwa Wageni. Hayo yameelezwa Mkoani Mara, …
Soma zaidi »WAZIRI LUKUVI AAMURU KUFUTWA HATI YA ARDHI NA KUSHUSHA NEEMA KWA WAKAZI WA MHANDU NYAMAGANA
Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi ameshusha neema kwa wakazi wa kata ya Mhandu katika halmashauri ya manispaa ya Nyamagana mkoa wa Mwanza kwa kuamuru kuondolewa katika daftari Hati ya kitalu Na 153 eneo hilo na kupatiwa wananchi 74 waliokuwa katika mgogoro. Akitoa uamuzi huo tarehe …
Soma zaidi »BURUNDI YAIOMBA TANZANIA KUISEMEA KIMATAIFA
Burundi imeiomba Tanzania kuendelea kuisemea nchi hiyo katika majukwaa ya Kimataifa ili iweze kuondolewa vikwazo vya kiuchumi ilivyowekewa na Jumuiya ya Ulaya jambo linalozorotesha maendeleo ya kiuchumi kwa nchi hiyo. Ombi hilo limetolewa na Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimaendeleo wa Burundi, Mhe. Isidore …
Soma zaidi »