Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Rais Dkt. John Pombe Magufuli ameamua kuboresha miundombinu mbalimbali ya usafiri nchini ikiwemo ujenzi wa mradi wa reli ya kisasa (SGR) ili kurahisisha usafirishaji wa abiria na mizigo. Ameyasema hayo leo (Ijumaa, Machi 5, 2021) baada ya kukagua maendeleo ya sehemu ya kipande cha pili …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: March 5, 2021
JAFO ARIDHISHWA NA UJENZI WA BARABARA YA UHURU
Na. Thereza Chimagu, Dodoma. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mhe. Selemani S. Jafo (Mb), ameridhishwa na kasi ya ujenzi wa Barabara inayoingia Hospitali ya Uhuru kwa kiwango cha lami yenye urefu wa Mita 320 kwa njia mbili ambayo inasimamiwa Wakala wa Barabara …
Soma zaidi »WAZIRI LUKUVI ATANGAZA UHAKIKI KUBAINI WAMILIKI HEWA WA ARDHI NCHI NZIMA
Na Munir Shemweta, ILEMELA Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amesema Wizara ya Ardhi kuanzia tarehe 1 Julai 2021 itaanza zoezi la uhakiki la kitaifa kuwatambua na kuwaondoa wamiliki wote hewa wa viwanja nchini. Lukuvi alisema hayo kwa nyakati tofauti tarehe 4 Machi 2021 katika ofisi …
Soma zaidi »VIJANA WAASWA KUCHANGAMKIA FURSA YA MIKOPO YENYE RIBA NAFUU INAYOTOLEWA NA HALMASHAURI PAMOJA NA MFUKO WA MAENDELEO YA VIJANA
Vijana nchini wamehimizwa kuchangamkia fursa ya mikopo yenye riba nafuu inayotolewa na Serikali kupitia makusanyo ya mapato ya ndani ya Halmashauri pamoja na Mfuko wa Maendeleo ya Vijana ambao unaratibiwa na Ofisi ya Waziri Mkuu ili waweze kujikwamua kiuchumi na kujiletea maendeleo. Akizungumza wakati wa ziara ya kikazi ya Mkoani …
Soma zaidi »TATHMINI YAFICHUA HASARA YA BILIONI1.6 UPANUZI HOSPITALI YA TUMBI
Na.Catherine Sungura,KibahaUchunguzi wa tathmini ya uwepo wa thamani ya fedha katika utekelezaji wa mradi wa upanuzi na uboreshaji wa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Pwani-Tumbi umeonesha hasara ya shilingi bilioni 1.6. Hayo yamebainishwa leo na Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia,Wazee na Watoto Dkt.Dorothy Gwajima wakati akipokea tathmini …
Soma zaidi »