UJENZI WA DARAJA LA TANZANITE WAFIKIA ASILIMIA 70.6 JIJINI DAR ES SALAAM

Ujenzi wa Daraja la Tanzanite (km 1.03) ambalo linapita katika Bahari ya Hindi kuunganisha eneo la Agha Khan pamoja na Coco Beach umefikia asilimia 70.6 na linatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwaka huu.
Excavator ikishushwa chini ya sakafu ya bahari kwa ajili ya kazi ya kuchimba katika muendelezo wa kazi za ujenzi wa Daraja la Tanzanite (km 1.03) ambalo linapita baharini kuunganisha eneo la Agha Khan pamoja na Coco Beach
Ujenzi wa Daraja la Tanzanite (km 1.03) ambalo linapita baharini kuunganisha eneo la Agha Khan pamoja na Coco Beach ukiendelea kwa kasi. Daraja la Tanzanite lina urefu wa km 1.03, upana mita 20.5 pamoja na barabara unganishi zake zenye urefu wa zaidi ya km 5.2, litakuwa na njia 4 za magari pamoja na njia 2 za watembea kwa miguu.
Ujenzi wa Daraja la Tanzanite (km 1.03) ambalo linapita baharini kuunganisha eneo la Agha Khan pamoja na Coco Beach ukiendelea kwa kasi. Daraja la Tanzanite lina urefu wa km 1.03, upana mita 20.5 pamoja na barabara unganishi zake zenye urefu wa zaidi ya km 5.2, litakuwa na njia 4 za magari pamoja na njia 2 za watembea kwa miguu. PICHA NA IKULU
Ad

Unaweza kuangalia pia

MAKAMU WA RAIS AFUNGUA MKUTANO WA WOMENLIFT HEALTH

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Mpango akimsikiliza Maelezo kutoka kwa …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *