Maktaba ya Kila Siku: March 10, 2021

WAZIRI MKUU MAJALIWA: RC NJOMBE FUATILIA MADAI YA WAKULIMA WA CHAI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amemuagiza Mkuu wa Mkoa wa Njombe, Mhandisi Marwa Mwita Rubirya afuatilie na kuchukua hatua kwa baadhi ya viwanda vya chai vinavyonunua majani mabichi ya chai ambavyo vimekuwa vikichelewesha malipo ya wakulima ahakikishe vinawalipa kwa wakati. Pia, Waziri Mkuu ameiagiza Wizara ya Kilimo ianzishe minada ya kuuza …

Soma zaidi »

RAIS WA ZANZIBAR DK. HUSSEIN MWINYI AZUNGUMZA NA GAVANA WA MOMBASA KENYA, IKULU ZANZIBAR

RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mhe.Dk. Hussein Ali Mwinyi akizungumza na Gavana wa Mombasa Kenya Mhe. Ali Hassan Joho, (kulia kwa Rais) akiwa na Ujumbe  wake wa Wafanyabiashara kutoka Kenya, mazungumzo hayo yamefanyika katika ukumbi wa Ikulu Jijini Zanzibar.(Picha na Ikulu) RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti …

Soma zaidi »