Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Brigedia Jenerali Wilbert A. Ibuge na Balozi wa China nchini Mhe. Wang Ke wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kuhitimisha mazungumzo yao yaliyofanyika jijini Dodoma. Katibu Mkuu wa Wizara ya Mambo ya Nje na …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: March 17, 2021
MAFUNDI SIMU ACHENI KUFUTA IMEI NAMBA – WAZIRI NDUGULILE
Na Prisca Ulomi, WMTH, Arusha Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile amewaasa baadhi ya mafundi simu za mkononi kuacha tabia ya kufuta IMEI namba wanapoletewa simu na wateja wao. Dkt. Ndugulile ameyasema hayo wakati wa ziara yake ya siku ya kwanza mkoani Arusha wakati akizungumza na …
Soma zaidi »KAMATI YA BUNGE VIWANDA IMETEMBELEA UJENZI WA KIWANDA CHA CHANJO ZA WANYAMA NA KUKAGUA KIWANDA CHA KUTENGENEZA VIUADUDU
Na Eliud Rwechungura Kamati ya kudumu ya Bunge Viwanda, Biashara na Mazingira ikiongozwa na Mwenyekiti wa kamati hiyo Mhe. David Kihenjile (Mb) na Makamu Mwenyekiti Mhe. Eric Shigongo imeambatana na Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Geoffrey Mwambe (Mb) katika mwendelezo wa ziara za kamati hiyo katika mkoa wa Pwani na …
Soma zaidi »WIZARA YAWAKUTANISHA WADAU KUJADILI MAPENDEKEZO YA KUTUNGWA KWA SHERIA YA TEHAMA
Katibu Mkuu wa Wizara ya Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt Zainab Chaula akizungumza wakati akifunga kikao cha wadau cha kujadili mapendekezo ya kutungwa kwa Sheria ya TEHAMA kilichofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Jijini Dodoma. Kulia ni Mkurugenzi wa Kitengo cha Sheria Lugano Rwetaka na Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi …
Soma zaidi »WAZIRI MHAGAMA AIOGONZA KAMATI KUDUMU YA BUNGE PAC KUUKAGUA MRADI WA MBIGIRI
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu), Mhe. Jenista Mhagama ameiongoza kamati ya Kudumu ya Bunge ya Hesabu za serikali (PAC) kuukagua mradi wa uzalishaji sukari katika shamba la Mbigiri, wilayani kilosa mkoani Morogoro. Akiongea wakati wa kikao na Kamati hiyo …
Soma zaidi »WAZIRI LUKUVI AMALIZA UTATA MGOGORO WA ARDHI KIJITONYAMA
Na Munir Shemweta, WANMM Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amemaliza utata uliojitokeza mtaa wa Nzasa kata ya Kijitonyama katika Manispaa ya Kinondoni Dar es Salaam baina ya baadhi ya wakazi wa mtaa huo na mmiliki wa viwanja namba 296 na 297 Dkt Khalifa Mussa Msami …
Soma zaidi »