Maktaba ya Kila Siku: March 24, 2021

WAZIRI MKUU MAJALIWA: HAYATI DKT. MAGUFULI AMEACHA ALAMA HADI VIJIJINI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amesema aliyekuwa Rais wa Tanzania Hayati Dkt. John Pombe Magufuli alikuwa kiongozi mahiri na ameacha alama Taifa zima na ndiyo sababu analiliwa na wananchi nchi nzima hadi vijijini. Ameyasema hayo leo (Jumatano, Machi 24, 2021) alipozungumza na wananchi kwenye uwanja wa CCM Kirumba, Mwanza kabla ya …

Soma zaidi »