Maktaba ya Mwezi: April 2021

RAIS SAMIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS MSTAAFU MZEE ALI HASSAN MWINYI JIJINI DAR ES SALAAM

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi ambaye alifika kumsalimia Rais Samia Nyumbani kwake jijini Dar es Salaam leo tarehe 12 Aprili, 2021 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo …

Soma zaidi »

WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA ATOA MAELEKEZO KWA AJILI YA KUIMARISHA SEKTA YA VIWANDA NA BIASHARA

Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo (Mb)  ametoa maelekezo kwa ajili ya kuimarisha sekta ya viwanda na biashara ili  sekta hizo zichangie kwa kiwango kikubwa  katika ukuaji wa uchumi na kutekeleza malengo ya  Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025, Mpango wa Taifa wa Maendeleo wa III wa miaka …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN NA MWENYEJI WAKE RAIS MUSEVENI WA UGANDA WASHUHUDIA UTIWAJI SAINI MRADI WA BOMBA LA MAFUTA LA AFRIKA MMASHARIKI IKULU YA ENTEBBE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akiweka saini kwenye kitabu cha ratiba ya hafla ya uwekwaji saini wa mkataba wa ujenzi wa Bomba la Mafuta la Afrika Mashariki litalotoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga baada ya yeye na Rais Yoweri Museveni wa Uganda kuombwa na …

Soma zaidi »

MAJALIWA: SERIKALI ITAENDELEA KUTOA FEDHA ILI KUKAMILISHA MRADI WA UMEME WA MAJI MTO RUFIJI

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kwamba Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan itaendelea kutoa fedha za kugharamia mradi wa kufua umeme kwa maji wa Julius Nyerere (JNHPP) ili ukamilike kwa wakati. Ameyasema hayo leo (Jumamosi, Aprili 10, 2021) baada ya kukagua mwenendo wa mradi huo, …

Soma zaidi »