Mahakama ya Hakimu Mkazi Moshi imewahukumu kifungo cha miaka 30 gerezani washtakiwa Damian Jankowsky Krzysztof raia wa Poland na mke wake Eliwaza Raphael Pyuza Mtanzania kwa makosa ya kulima mimea 729 ya bangi na kusafirisha dawa za kulevya aina ya bangi kiasi cha kilogramu 17.2 kinyume cha sheria. Vilevile, Mahakama …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: April 10, 2021
MAJALIWA: SERIKALI ITAENDELEA KUTOA FEDHA ILI KUKAMILISHA MRADI WA UMEME WA MAJI MTO RUFIJI
Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amewahakikishia Watanzania kwamba Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan itaendelea kutoa fedha za kugharamia mradi wa kufua umeme kwa maji wa Julius Nyerere (JNHPP) ili ukamilike kwa wakati. Ameyasema hayo leo (Jumamosi, Aprili 10, 2021) baada ya kukagua mwenendo wa mradi huo, …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA WAZRI JAFO NA CHANDE
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Philip Isdori Mpango, akizungumza na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mheshimiwa Selemani Jafo kushoto na Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano na Mazingira Mheshimiwa Hamad Hassan Chande kulia, kwenye Ofisi ya …
Soma zaidi »RAIS SAMIA AWATAKA MAWAZIRI NA WATAALAMU WA TANZANIA NA KENYA (JPC) KUKUTANA MARA MOJA ILI KUFANYIA KAZI MASUALA MBALIMBALI YA KUIMARISHA UHUSIANO
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan tarehe Aprili, 2021 amepokea ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Kenya, Uhuru Muigai Kenyatta uliowasilishwa na Waziri wa Michezo, Utamaduni na Urithi wa Kenya, Balozi Dkt. Amina Mohamed. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu …
Soma zaidi »WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA AWAASA WAKUU WA TAASISI KUFANYA KAZI KWA KUZINGATIA SHERIA
Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo (Mb) amewataka Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo kufanya kazi kwa mujibu wa Sheria, Kanuni na Taratibu zinazotumika kusimamia taasisi hizo na sikuwa kikwazo katika kutoa huduma bora kwa wananchi. Waziri Mkumbo aliyasema hayo alipokuwa akitoa mwelekeo wa utekelezaji wa …
Soma zaidi »