Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Selemani Jafo amesema Ofisi yake inaandaa Kampeni kubwa ya Mazingira itakayoenda sambamba na mashindano katika ngazi mbalimbali ikihusisha upandaji miti, utunzaji na usafi wa mazingira kwa ujumla wake. Akizungumza wakati wa kikao kazi na Menejimenti ya Ofisi yake pamoja …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: April 12, 2021
RAIS SAMIA AKUTANA NA KUFANYA MAZUNGUMZO NA RAIS MSTAAFU MZEE ALI HASSAN MWINYI JIJINI DAR ES SALAAM
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais Mstaafu wa Awamu ya Pili Mzee Ali Hassan Mwinyi ambaye alifika kumsalimia Rais Samia Nyumbani kwake jijini Dar es Salaam leo tarehe 12 Aprili, 2021 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan leo …
Soma zaidi »WAKULIMA WA TUMBAKU KUPATA NEEMA KUPITIA USHIRIKA
Mradi wa Pamoja wa Wakulima wa zao la Tumbaku Tobbacco Cooperative Joint Enterprise Limited (T.C.J.E) wametakiwa kutumia mfumo wa Ununuzi wa Pamoja Bulk Procurement (B.P.S) kwa lengo la kusaidia wakulima wa Tumbaku kupitia Vyama vya Ushirika kupata pembejeo za kilimo kwa bei nafuu.Maagizo hayo yametolewa na Naibu Waziri wa Kilimo …
Soma zaidi »WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA ATOA MAELEKEZO KWA AJILI YA KUIMARISHA SEKTA YA VIWANDA NA BIASHARA
Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo (Mb) ametoa maelekezo kwa ajili ya kuimarisha sekta ya viwanda na biashara ili sekta hizo zichangie kwa kiwango kikubwa katika ukuaji wa uchumi na kutekeleza malengo ya Dira ya Taifa ya Maendeleo 2025, Mpango wa Taifa wa Maendeleo wa III wa miaka …
Soma zaidi »RAIS SAMIA SULUHU HASSAN NA MWENYEJI WAKE RAIS MUSEVENI WA UGANDA WASHUHUDIA UTIWAJI SAINI MRADI WA BOMBA LA MAFUTA LA AFRIKA MMASHARIKI IKULU YA ENTEBBE
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akiweka saini kwenye kitabu cha ratiba ya hafla ya uwekwaji saini wa mkataba wa ujenzi wa Bomba la Mafuta la Afrika Mashariki litalotoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga baada ya yeye na Rais Yoweri Museveni wa Uganda kuombwa na …
Soma zaidi »