KAMPENI KAMBAMBE YA MAZINGIRA KUZINDULIWA – WAZIRI JAFO

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Selemani Jafo amesema Ofisi yake inaandaa Kampeni kubwa ya Mazingira itakayoenda sambamba na mashindano katika ngazi mbalimbali ikihusisha upandaji miti, utunzaji na usafi wa mazingira kwa ujumla wake.

Akizungumza wakati wa kikao kazi na Menejimenti ya Ofisi yake pamoja na waandishi wa habari kilichofanyika katika Mji wa Serikali Mtumba, Jafo amesema kampeni hiyo kubwa na ya aina yake itazinduliwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Philip Mpango katika maadhimisho ya Siku ya Mazingira duniani tarehe 5 Juni 2021 kwa lengo la kuifanya Tanzania kuwa kielelezo katika utunzaji wa mazingira.

Ad
Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo akizungumza waandishi wa habari hii leo katika Mji wa Serikali Mtumba kuelezea Kampeni kubwa ya Mazingira na mashindano katika ngazi mbalimbali ikihusisha upandaji miti, utunzaji na usafi wa mazingira itakayozinduliwa Siku ya Mazingira 5/6/2021 na Makamu wa Rais Mhe. Philip Mpango.

“Kampeni hii kubwa itahusisha Mikoa yote 26 na itahusu usafi na Utunzaji wa Mazingira kwa ujumla wake ambapo tuzo na zawadi zitatolewa kwa washindi katika ngazi mbalimbali mara baada ya tathmini kufanyika na zawadi zitatolewa wakati wa Siku ya Mazingira Duniani Juni 5 mwaka 2021” Jafo alisisitiza.

Kampeni hii pia itashindanisha Majiji, Manispaa, Halmashauri za Miji na Majiji, Kata na Vijiji katika nyanja za elimu na Afya, Vyuo, Shule za Sekondari, Shule za Msingi Hospitali, Zahanati na Vituo vya afya pia zitashindanishwa.

“Tunafahamu changamoto kubwa za usafiri katika mashule yetu na taasisi za elimu ya juu, zawadi kama Magari, Pikipiki, Vifaa vya kufundishia na kompyuta zitatolewa, pia vifaa tiba katika sekta ya afya ikiwemo vitanda katika hospitali zitakazoibuka vinara zitatolewa” Jafo alisisitiza.

Makundi mengine yatakayoshindanishwa ni pamoja na Viwanda, Migodi, Hifadhi za Taifa, Madampo, Viwanja vya Ndege, Stendi za Mabasi, Masoko, Hoteli za nyota (1-5) na Waandishi wa Habari za Mazingira.

“Nataka kutoa rai kwa waandishi wa Habari wa magazeti, televisheni, bloggers na mitandaoni kushiriki katika kampeni hii na mashindano haya tuzo na zawadi zitatolewa kwenu” alisisitiza Mhe. Waziri

Aidha, ameiasa jamii na watanzania kwa ujumla kupanda miti rafiki kwa mazingira hususan ile ya matunda kulingana na jiografia ya maeneo yao kwa lengo la kuboresha na kuimarisha afya zao.

Katika kampeni hii kubwa na ya kipekee jumla ya washindi 152 kutoka makundi mbalimbali watapatikana na kupatiwa zawadi ikiwa ni pamoja na kupata fursa za kutembelea vivutio vya utalii ikiwemo mbuga za Wanyama hapa nchini.

Ad

Unaweza kuangalia pia

Makamu wa Rais Dkt. Mpango Awakaribisha Wawekezaji Katika Nishati ya Jotoardhi Tanzania

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango amewakaribisha wawekezaji …

36 Maoni

  1. Профессиональные seo https://seo-optimizaciya-kazan.ru услуги для максимизации онлайн-видимости вашего бизнеса. Наши эксперты проведут глубокий анализ сайта, оптимизируют контент и структуру, улучшат технические аспекты и разработают индивидуальные стратегии продвижения.

  2. Discover the fascinating world of online games with GameHub Azerbaijan https://online-game.com.az. Get the latest news, reviews and tips for your favorite games. Join our gaming community today!

  3. 1xbet https://1xbet.best-casino-ar.com with withdrawal without commission. Register online in a few clicks. A large selection of slot machines in mobile applications and convenient transfers in just a few minutes.

  4. Смотрите онлайн сериал Отчаянные домохозяйки https://domohozyayki-serial.ru в хорошем качестве HD 720 бесплатно, рейтинг сериала: 8.058, режиссер сериала: Дэвид Гроссман, Ларри Шоу, Дэвид Уоррен.

  5. The young talent who conquered Paris Saint-Germain: how Xavi Simons became https://xavi-simons.psg-fr.com leader of a superclub in record time.

  6. Jude Victor William Bellingham https://jude-bellingham.real-madrid-ar.com English footballer, midfielder of the Spanish club Real Madrid and the England national team. In April 2024, he won the Breakthrough of the Year award from the Laureus World Sports Awards.

  7. Khabib Abdulmanapovich Nurmagomedov https://khabib-nurmagomedov.com.az Russian mixed martial arts fighter who performed under the auspices of the UFC. Former UFC lightweight champion.

  8. Welcome to our official site! Get to know the history, players and latest news of Inter Miami Football Club https://inter-miami.com.az. Discover with us the successes and great performances of America’s newest and most exciting soccer club.

  9. Conor Anthony McGregor https://conor-mcgregor.com.az Irish mixed martial arts fighter who also performed in professional boxing. He performs under the auspices of the UFC in the lightweight weight category. Former UFC lightweight and featherweight champion.

  10. Оперативный вывод из запоя https://www.liveinternet.ru/users/laralim/post505923855/ на дому. Срочный выезд частного опытного нарколога круглосуточно. При необходимости больного госпитализируют в стационар.

  11. Видеопродакшн студия https://humanvideo.ru полного цикла. Современное оборудование продакшн-компании позволяет снимать видеоролики, фильмы и клипы высокого качества. Создание эффективных видеороликов для рекламы, мероприятий, видеоролики для бизнеса.

  12. Gucci купить http://thebestluxurystores.ru по низкой цене в интернет-магазине брендовой одежды. Одежда и обувь бренда Gucci c доставкой.

  13. Al-Nasr https://al-nasr.com.az your source of news and information about Al-Nasr Football Club . Find out the latest results, transfer news, player and manager interviews, fixtures and much more.

  14. Antoine Griezmann https://atlticomadrid-dhb.antoine-griezmann-cz.com Atletico Madrid star whose talent and decisive goals helped the club reach the top of La Liga and the UEFA Champions League.

  15. Son Heung-min’s https://tottenhamhotspur.son-heung-min-cz.com success story at Tottenham Hotspur and his influence on the South Korean football, youth inspiration and changing the perception of Asian players.

  16. The story of how the incredibly talented footballer Riyad Mahrez https://alahli.riyad-mahrez-cz.com reached new heights in career, moving to Al Ahly and leading the team to victory.

  17. Try to make a fascinating actor Johnny Depp https://secret-window.johnny-depp.cz, who will become the slave of his strong hero Moudriho Creeps in the thriller “Secret Window”.

  18. The inspiring story of the ascent of the young actress Anya Taylor https://queensmove.anya-taylor-joy.cz to fame after her breakthrough performance in the TV series “The Queen’s Move”. Conquering new peaks.

  19. Jon Jones https://ufc.jon-jones.cz a dominant fighter with unrivaled skill, technique and physique who has conquered the light heavyweight division.

  20. The legendary Spanish racer Fernando Alonso https://formula-1.fernando-alonso.cz returns to Formula 1 after several years.

  21. Website dedicated to football player Paul Pogba https://pogba-uz.com. Latest news from the world of football.

  22. Site with the latest news, statistics, photos of Pele https://edson-arantes-do-nascimento.com and much more. Get the latest news and information about football legend Pele.

  23. The best site dedicated to the football player Paul Pogba https://pogba.org. Latest news from the world of football.

  24. Neymar https://al-hilal.neymar-fr.com at Al-Hilal: his professionalism and talent inspire young people players, taking the club to new heights in Asian football.

  25. The fascinating story of Daniil Medvedev’s https://tennis.daniil-medvedev-fr.biz rise to world number one. Find out how a Russian tennis player quickly broke into the elite and conquered the tennis Olympus.

  26. Kim Kardashian’s https://the-kardashians.kim-kardashian-fr.com incredible success story, from sex scandal to pop culture icon and billion-dollar fortune.

  27. The astonishing story of Emmanuel Macron’s https://president-of-france.emmanuel-macron-fr.com political rise from bank director to the highest office in France.

  28. Une ascension fulgurante au pouvoir Donald Trump https://usa.donald-trump-fr.com et son empire commercial

  29. Inter Miami FC https://mls.inter-miami-fr.com has become a major player in MLS thanks to its star roster, economic growth and international influence.

  30. бонус драгон мани казино Dragon Money Casino

  31. The incredible story https://napoli.khvichakvaratskhelia-br.com of a young Georgian talent’s transformation into an Italian Serie A star. Khvicha Kvaraeshvili is a rising phenomenon in European football.

  32. Pedro Gonzalez Lopez https://barcelona.pedri-ar.com known as Pedri, was born on November 25, 2002 in the small town of Tegeste, located on Tenerife, one of the Canary Islands.

  33. Brazilian footballer Ricardo Escarson https://orlando-city.kaka-ar.com dos Santos Leite, better known as Kaka, is one of the most famous and successful players in football history.

  34. Brazilian footballer Malcom https://al-hilal.malcom-ar.com (full name Malcom Felipe Silva de Oliveira) achieved great success in Al Hilal, one of the leading football teams in Saudi Arabia and the entire Middle East.

  35. Chelsea https://england.chelsea-ar.com is one of the most successful English football clubs of our time.

  36. The road to the Premier League https://english-championship.premier-league-ar.com begins long before a team gets promoted to the English Premier League for the first time

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *