RAIS SAMIA SULUHU HASSAN NA MWENYEJI WAKE RAIS MUSEVENI WA UGANDA WASHUHUDIA UTIWAJI SAINI MRADI WA BOMBA LA MAFUTA LA AFRIKA MMASHARIKI IKULU YA ENTEBBE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akiweka saini kwenye kitabu cha ratiba ya hafla ya uwekwaji saini wa mkataba wa ujenzi wa Bomba la Mafuta la Afrika Mashariki litalotoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga baada ya yeye na Rais Yoweri Museveni wa Uganda kuombwa na Mtendaji Mkuu na Mwenyekiti wa Makampuni ya Total duniani Bw. Patrick Poyanne kufanya hivyo ili iwe kumbukumbu yake ya siku hiyo ya kihistoria katika Ikulu ya Entebbe leo
Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Maendeleo ya Petroli (TPDC) Dkt James Mataragio akiweka saini kwa niaba ya Tanzania mkataba wa ujenzi wa Bomba la Mafuta la Afrika Mashariki litalotoka Hoima nchini humo hadi Tanga katika hafla iliyofanyika leo Ikulu ya Entebbe na kushuhudiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan na mwenyeji wake Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda
Maafisa wandamizi wa kampuni ya TOTAL ya Ufaransa wakiweka saini mkataba wa ujenzi wa Bomba la Mafuta la Afrika Mashariki litalotoka Hoima nchini humo hadi Tanga katika hafla iliyofanyika leo Ikulu ya Entebbe na kushuhudiwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan na mwenyeji wake Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akiweka saini kwenye kitabu cha tamko la pamoja la yeye na mwenyeji wake Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda katika Ikulu ya Entebbe baada ya hafla ya uwekwaji saini wa mkataba wa ujenzi wa Bomba la Mafuta la Afrika Mashariki litalotoka Hoima nchini humo hadi Tanga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan akisindikizwa na mwenyeji wake Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda katika Ikulu ya Entebbe baada ya hafla ya uwekwaji saini wa mkataba wa ujenzi wa Bomba la Mafuta la Afrika Mashariki litalotoka Hoima nchini humo hadi Tanga

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe Samia Suluhu Hassan wakipata picha ya kumbukumbu na mwenyeji wake Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda na Mtendaji Mkuu na Mwenyekiti wa Makampuni ya TOTAl duniani Bw. Patrick Pouyanner na viongozi waandamizi wa bn hi hizo mbili na kampuni hiyoa katika Ikulu ya Entebbe baada ya hafla ya uwekwaji saini wa mkataba wa ujenzi wa Bomba la Mafuta la Afrika Mashariki litalotoka Hoima nchini humo hadi Tanga
Ad

Unaweza kuangalia pia

MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA MRADI WA MAJI SAME MWANGA KOROGWE

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Mwajuma Waziri kuhusu maendeleo ya ujenzi wa mradi wa maji Maji wa Same – Mwanga – Korogwe wakati alipotembelea chanzo cha mradi huo eneo la la Nyumba yaMungu Wilaya ya Mwanga wakati akiwa ziarani mkoani Kilimanjaro tarehe 21 Machi 2024. Makamu …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *