Maktaba ya Mwezi: April 2021

RAIS SAMIA AWATAKA MAWAZIRI NA WATAALAMU WA TANZANIA NA KENYA (JPC) KUKUTANA MARA MOJA ILI KUFANYIA KAZI MASUALA MBALIMBALI YA KUIMARISHA UHUSIANO

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan tarehe Aprili, 2021 amepokea ujumbe maalum kutoka kwa Rais wa Jamhuri ya Kenya, Uhuru Muigai Kenyatta uliowasilishwa na Waziri wa Michezo, Utamaduni na Urithi wa Kenya, Balozi Dkt. Amina Mohamed. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu …

Soma zaidi »

WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA AWAASA WAKUU WA TAASISI KUFANYA KAZI KWA KUZINGATIA SHERIA

Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo (Mb)  amewataka Wakuu wa Taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo kufanya kazi kwa mujibu wa Sheria, Kanuni na Taratibu  zinazotumika kusimamia taasisi hizo na sikuwa kikwazo katika kutoa huduma  bora kwa wananchi. Waziri  Mkumbo  aliyasema hayo alipokuwa akitoa mwelekeo wa utekelezaji wa …

Soma zaidi »

WIZARA MPYA TUCHAPE KAZI KWA KASI YA SERIKALI YA AWAMU YA SITA

Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Faustine Ndugulile(wa pili kulia) akifungua baraza la wafanyakazi la Wizara hiyo lililofanyika katika ukumbi wa Jakaya Kikwete, Dodoma. Kulia ni Naibu wake Mhandisi Kundo Mathew, wa pili kushoto ni Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Zainab Chaula na kushoto ni Naibu Katibu …

Soma zaidi »

UTARATIBU MBOVU KUIGHARIMU BENKI IWAPO FEDHA ZA MTEJA ZITAIBWA

Serikali imesema kuwa Benki Kuu ya Tanzania (BoT) hutoa adhabu kwa Benki yeyote itakayobainika kusababisha fedha za mteja kuibwa kutokana na utaratibu uliowekwa na Benki husika kuwa na kasoro. Hayo yamebainishwa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Mhandisi, Hamad Yussuf Masauni (Mb), alipokuwa akijibu swali …

Soma zaidi »

WAZIRI JAFO ATAKA MACHINJIO YA KISASA YA KIZOTA KUREKEBISHA CHANGAMOTO ZAO

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira) Mhe. Selemani Jafo ameupa uongozi wa machinjio ya kisasa ya Kizota jijini Dodoma miezi sita kurekebisha changamoto ya utiririshaji wa majitaka ovyo. Jafo ametoa agizo hilo leo Aprili 8, 2021 alipofanya ziara ya kikazi katika machinjo hiyo kwa ajili …

Soma zaidi »

DKT. NCHEMBA: TUTABORESHA MASUALA YA KODI NA KUSIMAMIA MATUMIZI YA SERIKALI

Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, amewahakikishia wafanyabiashara hapa nchini kuwa Wizara yake itahakikisha inarejesha taswira na mahusiano mazuri nao katika masuala yakodi ili kuboresha mazingira ya ufanyaji biashara na kusisimua uchumi wa nchi. Dkt. Nchemba alitoa ahadi hiyo Ikulu …

Soma zaidi »