Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akihutubia mara baada ya kuwaapisha MAkatibu Wakuu, Naibu Makatibu Wakuu na Wakuu wa Taasisi Ikulu jijini Dar es salaam leo Jumanne April 6, 2021 Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, akizungumza …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwezi: April 2021
WALIO HAMISHA FEDHA ‘BANK’ WAZIRUDISHE – WAZIRI WA FEDHA MWIGULU
Serikali imetoa rai kwa wafanyabiashara wote waliotoa fedha zao kwenye mabenki wakiogopa zitachukuliwa baada ya akanti zao kuonekana na fedha nyingi kuzirejesha kwa hiari na kuendelea na utaratibu wa kutumia benki kutunza fedha zao. Pia imewataka watendaji walio na jukumu la kukusanya kodi kuhakikisha wanakusanya kodi kwa wafanyabiasha kwa kuzingatia …
Soma zaidi »WAZIRI WA FEDHA DKT. MWIGULU NCHEMBA NA NAIBU WAKE MHANDISI MASAUNI WAANZA KAZI RASMI BAADA YA KUAPISHWA
Naibu Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Mhandisi Hamad Yussuf Masauni (Mb), akipokea shada la maua kutoka kwa mtumishi Bi. Emiliana Shayo, alipowasili katika Ofisi za Wizara zilizopo Mji wa Kiserikali wa Magufuli -Mtumba, baada ya kuapishwa na Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan, Ikulu Chamwino, jijini Dodoma. Waziri wa Fedha …
Soma zaidi »DC KINONDONI AANZA ZIARA YA KATA KWA KATA KUSIKILIZA KERO ZA WANANCHI.
Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mhe Daniel Chongolo Mkuu wa wilaya ya Kinondoni Mhe Daniel Chongolo ameanza ziara ya kikazi kata kwa kata Katika kata mbalimbali za Halmashauri ya Manispaa ya Kinondoni kwa lengo la kusikiliza kero mbalimbali za Wananchi. Akiongea mara baada ya kusikiliza kero za Wananchi Katika kata …
Soma zaidi »RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AWAAPISHA VIONGOZI MBALIMBALI ALIOWATEUA IKULU CHAMWINO MKOANI DODOMA
Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Hussein Othman Katanga akila Kiapo cha Uadilifu kwa Viongozi wa Umma Ikulu ya Chamwino. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akimuapisha Ummy Ally Mwalimu kuwa Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa-TAMISEMI katika hafla iliyofanyika …
Soma zaidi »