Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Rais wa Kenya Uhuru Muigai Kenyatta mara baada ya kuwasili katika Ikulu ya Nairobi nchini Kenya leo tarehe 04 Aprili, 2021. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa amesimama pamoja na Rais …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: May 4, 2021
MAKAMU WA RAIS DKT. MPANGO ATEMBELEA HOSPITALI YA BENJAMIN MKAPA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akisindikizwa na Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Isdor Mpango, alipokuwa akiondoka katika Uwanja wa Ndege Jijini Dodoma leo Mei 04,2021 kuelekea Nchini Kenya kwea Ziara ya Siku mbili. Makamu wa Rais wa …
Soma zaidi »PROF. MKUMBO AKUTANA NA WASAFIRISHAJI,WAINGIZAJI NA WATOAJI WA MIZIGO BANDARINI NA KUSIKILIZA CHANGAMOTO ZINAZOATHIRI HALI YA BIASHARA NCHINI
Waziri wa Viwanda na Biashara Prof. Kitila Mkumbo amekutana na kufanya kikao na wadau mbalimbali wa usafirishaji, uingizaji na utoaji wa mizigo bandarini. Pamoja na mambo mengine, kikao hicho kililenga kujadili kwa pamoja changamoto mbalimbali wanazokumbana nazo wadau hao ambazo zimekuwa zikiathiri mazingira na hali ya biashara hapa nchini. “Serikali haifanyi …
Soma zaidi »BASATA, BODI YA FILAMU NA COSOTA ZAAGIZWA KURATIBU VYEMA SUALA LA UHAKIKI WA WASANII
Na Richard Mwamakafu, Arusha Waziri ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mheshimiwa Innocent Bashungwa amezitaka taasisi za Barazala la Sanaa la Taifa (BASATA) Chama cha Hakimiliki Tanzania (COSOTA) na Bodi ya Filamu (TBF) kufanya uhakiki wa kazi za sanaa kwa utaratibu ambao haukwamishi kazi za wasanii nchini. Mhe. Bashungwa amesema …
Soma zaidi »