Maktaba ya Kila Siku: May 12, 2021

RAIS SAMIA SULUHU HASSAN AHUDHURIA SHEREHE ZA KUAPISHWA KWA RAIS WA UGANDA YOWERI KAGUTA MUSEVENI KAMPALA NCHINI UGANDA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na kumpongeza na Rais wa Uganda Yoweri Museveni mara baada ya Sherehe za Uapisho zilizofanyika katika uwanja wa Kololo Kampala nchini Uganda Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akizungumza jambo na kumpongeza …

Soma zaidi »

WAZIRI WA UINGEREZA ANAYESHUGHULIKIA MASUALA YA AFRIKA – TANZANIA NI MBIA MUHIMU WA UK NA JUMUIYA YA MADOLA

Uingereza imesema Tanzania ni mbia muhimu wa miaka mingi wa maendeleo na katika Jumuiya ya Madola na kwamba Nchi ya Uingereza itaendelea kushirikiana na Tanzaniakatika masuala ya uwekezaji,biashara,diplomasia na utawala bora. Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika Mhe. James Duddridge ameyasema hayo katika mazungumzo rasmi aliyoyafanya na Waziri wa …

Soma zaidi »

TANZANIA MBIA MUHIMU WA UINGEREZA, JUMUIYA YA MADOLA

Uingereza imesema Tanzania ni mbia wake muhimu wa miaka mingi katika maendeleo na Jumuiya ya Madola na kuahidi kuwa itaendelea kushirikiana na Tanzania katika masuala ya kidiplomasia, biashara na uwekezaji. Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika James Duddridge ameyasema hayo jijini Dar es Salaam katika mazungumzo rasmi aliyoyafanya na …

Soma zaidi »

MAJALIWA – WATENDAJI SEKTA YA MAJI FANYENI KAZI WA UZALENDO

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka viongozi na watendaji wote wa sekta ya maji nchini kufanya kazi kwa uzalendo, bidii na weledi na kwa kutanguliza maslahi mapana ya nchi. Amesema lengo ni kuhakikisha kuwa kiwango cha upatikanaji wa huduma ya maji nchini kinaongezeka ili kufikia malengo ya kufikisha maji kwa kiwango cha …

Soma zaidi »

WAZIRI WA VIWANDA NA WAZIRI WA UWEKEZAJI WAKUTANA NA WAZIRI WA UINGEREZA ANAYESHUGHULIKIA MASUALA YA AFRIKA

Waziri wa Viwanda na Biashara, Prof. Kitila Mkumbo na Waziri wa Uwekezaji, Geofrrey Mwambe kwa pamoja wamekutana leo Mei 11, 2021 na kufanya mazungumzo na Waziri wa Uingereza anayeshughulikia masuala ya Afrika katika Wizara ya Mambo ya Nje, Jumuiya ya Madola na Maendeleo ya Uingereza, Bw. James Duddridge. Katika kikao …

Soma zaidi »