Zuena Msuya na Henry Kilasa, Pwani Waziri wa Nishati, Dkt.Medard Kalemani amewaeleza watanzania kuwa mradi wa kufua Umeme wa Julius Nyerere ( JNHPP) utaanza kuzalisha Umeme utakaotumika katika gridi ya taifa kuanzia Mwezi Juni 2022 kwa kuwa hatua ya ujenzi ya maeneo muhimu ya kuzalisha umeme yamefikia 52.8% mpaka sasa. …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: May 24, 2021
NAIBU WAZIRI ULEGA ATAKA MAJIBU YA UKOSEFU WA MALIGHAFI KATIKA VIWANDA VYA KUCHAKATA SAMAKI
Na. Edward Kondela Naibu Waziri wa Mifugo na Uvuvi Abdallah Ulega (Mb) amewaelekeza viongozi wa viwanda vya kuchakata samaki Mkoani Mwanza kukaa na maafisa kutoka katika wizara hiyo kutafuta suluhu ya ukosefu wa malighafi ya kutosha katika viwanda vyao ili viweze kufanya kazi kwa kadri ambavyo vinatarajiwa. Naibu Waziri Ulega …
Soma zaidi »SERIKALI KUIDHINISHA KIASI CHA BILIONI 372.34 KWA AJILI YA KUANZA UJENZI WA KIPANDE CHA 5 CHA RELI YA MWANZA – ISAKA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan tarehe 22 Mei, 2021 amezungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Reli Tanzania (TRC) Bw. Masanja Kadogosa kuhusu maendeleo ya miradi ya ujenzi wa reli na maendeleo ya TRC. Katika mazungumzo hayo, Bw. Kadogosa amemshukuru Mhe. Rais Samia kwa …
Soma zaidi »SEKRETARIETI YA SADC YA UTATU YAKUTANA KWA DHARURA
Sekretarieti ya Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika SADC imeitisha mkutano wa dharura wa utatu wa Jumuiya hiyo wenye lengo la kujadili mapendekezo ya Mkutano wa Kamati ya Mawaziri wa Afya kuhusu hali ya ugonjwa wa COVID – 19. Katika Mkutano huo uliofanyika kwa njia ya mtandao Tanzania imewakilishwa na …
Soma zaidi »