Baraza la Kisekta la Mawaziri wa Biashara, Viwanda, Fedha na Uwekezaji (SCTIFI) la Jumuiya ya Afrika Mashariki lakubaliana kuondoa vikwazo visivyo vya kibiashara na kuimarisha biashara na uwekezaji ndani ya Jumuiya hiyo. Awali akifungua mkutano Jijini Arusha jana Ijumaa, Naibu Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki anayeshughulikia masuala ya …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: May 29, 2021
JKCI YANUNUA MASHINE MBADALA YA MAPAFU NA MOYO
TAASISI Ya moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI,) imenunua mashine mbadala ya mapafu na moyo (Heart Lung machine,) Itakayotumika wakati wa upasuaji mkubwa wa kusimamisha moyo yenye thamani ya shilingi 383, 596,000.
Soma zaidi »SERIKALI KUJENGA CHUO KIPYA CHA UFUNDI KITAKACHOCHUKUA WANAFUNZI 5,000
Katibu Mkuu wa Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Dkt Leonard Akwilapo na Maneja wa Kampuni ya CRJE East Afrika Ltd tawi la Tanzania Xu Cheng wakitia saini mkataba wa ujenzi wa Chuo cha Ufundi Dodoma katika hafla ya utiaji iliyofanyika Jijini Dodoma. Wanaoshuhudia katika picha ni watumishi wa wizara …
Soma zaidi »WAZIRI MKUU MAJALIWA: MARA WEKENI MKAKATI WA KUITANGAZA MBUGA YA SERENGETI
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka viongozi wa Mkoa wa Mara na Watendaji katika Sekta ya Utalii wabadilike na waweke mkakati wa kuitangaza mbuga ya Serengeti ili kuweza kuvutia zaidi watalii na kuitambulisha mbuga hiyo kuwa iko mkoa humo. Amesema Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan …
Soma zaidi »WAZIRI JAFO – ASASI ZA KIRAIA ZISHIRIKI KUHIFADHI MAZINGIRA
Katibu Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais Bi. Mary Maganga akizungumza wakati wa kikao maalumu cha kujadili mchango na majukumu ya Asasi zisizo ya Kiserikali katika Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira Nchini kilichofanyika katika Ukumbi wa Jakaya Kikwete Convention Center Jijini Dodoma leo Mei 27, 2021. Waziri wa Nchi Ofisi …
Soma zaidi »