JKCI YANUNUA MASHINE MBADALA YA MAPAFU NA MOYO Matokeo ChanyA+ May 29, 2021 JKCI, WIZARA YA AFYA 402 Maoni 4,163 Imeonekana TAASISI Ya moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI,) imenunua mashine mbadala ya mapafu na moyo (Heart Lung machine,) Itakayotumika wakati wa upasuaji mkubwa wa kusimamisha moyo yenye thamani ya shilingi 383, 596,000. Ad Share Facebook Twitter Stumbleupon LinkedIn Pinterest