Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais Mpya wa 7 wa Zambia Mhe. Hakainde Hichilema, Jijini Lusaka Zambia leo Agosti 24,2021. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Rais Uhuru Kenyata wa Kenya walipokutana kwenye Sherehe ya …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwezi: August 2021
DKT. ANNA MAKAKALA ARIDHISHWA NA MAENDELEO YA UJENZI WA JENGO LA UHAMIAJI MAKAO MAKUU DODOMA
Kamishna Jenerali wa Uhamiaji nchini CGI Dkt. Anna Makakala ameridhishwa na maendeleo ya ujenzi wa jengo la Uhamiaji Makao Makuu linaloendelea kujengwa Jijini Dodoma chini ya kampuni ya ujenzi ya SUMAJKT.CGI Dkt. Makakala ameyasema hayo mapema leo hii alipokutana na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Meja Jenerali Rajab Mabele …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS ASHUHUDIA UTIAJI SAINI KUONDOA HOJA ZA MUUNGANO ZILIZOPATIWA UFUMBUZI
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza na Viongozi mbalimbali walioshiriki katika kutafuta ufumbuzi hoja 11 za Muungano wakati wa Utiaji saini wa hati za makubaliano ya kuondoa hoja za Muungano zilizopatiwa ufumbuzi. Hafla iliofanyika katika Ukumbi wa Chuo cha Utalii,Maruhubi, Zanzibar Agosti …
Soma zaidi »WAZIRI MHAGAMA AHIMIZA KASI HATUA YA PILI YA UJENZI WA KIWANDA CHA KUCHAKATA BIDHAA ZA NGOZI KILIMANJARO
Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Uratibu, Bunge, Kazi Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu) Mhe. Jenista Mhagama (katikati) akiwa ameogozana na Viongozi mbalimbali wanaosimamia Ujenzi wa kiwanda hicho cha Kilimanjaro International Leather Industries Co. Ltd alipofanya ziara ya kukagua maendeleo ya kiwanda hicho cha kutengeneza viatu sambamba na …
Soma zaidi »BODI YA MAZAO MCHANGANYIKO (CPB) YAASWA KUYAONGEZEA THAMANI MAZAO NCHINI
Waziri wa Kilimo nchini Mhe. Profesa Adolf Mkenda akipokea maelezo ya bidhaa itokanayo na zao la alizeti wakati wa sherehe ya kuzindua viwanda vya uchakataji mazao jijini Dodoma Jumatano iliyopita. Bodi ya Mazao Mchanganyiko (CPB) nchini imeaswa kufanya jitihada za ziada katika kuyaongezea thamani mazao ili kuweza kushindana na soko …
Soma zaidi »TANZANIA YAPOKEA MKOPO WA MASHARTI NAFUU WENYE THAMANI YA SHILINGI TRILIONI 2.7 KUTOKA BENKI YA DUNIA
Pichani kulia ni Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb) na Mwakilishi Mkazi wa Benki ya Dunia Bi. Mara Warwick (kushoto) wakionesha mmoja kati ya mikataba mitano ya mikopo yenye masharti nafuu yenye thamani ya shilingi trilioni 2.7 kwa ajili ya utekelezaji wa miradi katika sekta …
Soma zaidi »KAZI INAENDELEA YA KUSIMIKA MABOMBA YA KUTOLEA MAJI KATIKA MRADI WA UMEME WA JNHPP
Kazi ya usimikaji wa bomba (Draft tube) sehemu ya chini kabisa kwenye mashine nambari 9 imeanza Agosti 17, 2021, katika mradi wa kufua umeme wa Julius Nyerere (JNHPP), bomba hizo zitatumika kutolea maji katika mitambo ya kufua umeme na kuyarudisha mto Rufiji kwa ajili ya matumizi mengine.Hii ni hatua kubwa …
Soma zaidi »UJENZI WA MAJENGO YA GHOROFA MTUMBA WASHIKA KASI
Katibu wa kikosi kazi cha Taifa cha kuratibu Serikali kuhamia Dodoma na ujenzi wa mji wa Serikali Mtumba Bwana Meshack Bandawe amekutana na wakurugenzi wa utawala na rasilimali watu wa Wizara zote ili kujadili maandalizi na utekelezaji wa ujenzi wa ofisi za ghorofa za Wizara zitakazojengwa awamu ya pili katika …
Soma zaidi »NAIBU WAZIRI MABULA ATAKA WATENDAJI SEKTA YA ARDHI KUHAMASISHA URASIMISHAJI
Sehemu ya Watendaji wa sekta ya ardhi na wawakilishi wa Kampuni za Upangaji na Upimaji wakiwa katika kikao kilichofanyika Chuo cha Mipango jijini Dodoma jana. Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula amewataka watendaji wa sekta ya ardhi nchini kutumia njia mbalimbali katika kuhamasisha zoezi …
Soma zaidi »