Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaagiza Mawaziri na Makatibu Wakuu wasimamie kikamilifu awamu ya pili ya mpango wa ujenzi wa Mji wa Serikali ulipo Mtumba jijini Dodoma ili ukamilike kwa wakati. Ametoa agizo hilo leo (Jumatano, Septemba 8, 2021) wakati akiongoza Kikao Kazi cha Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu, Naibu Katibu Wakuu …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: September 8, 2021
BENKI YA TADB YATOA SH. BIL.281.74 KUENDELEZA KILIMO
Na. Sandra Charles na Regina Frank, WFM, Dodoma Benki ya Maendeleo ya Kilimo Tanzania (TADB) imetoa mikopo yenye jumla ya Shilingi bilioni 281.74 kwa ajili ya kuendeleza miradi ya kilimo, ufugaji na uvuvi nchini kwa wakulima 1,514,695 vikiwemo vyama vya wakulima 151. Hayo yameelezwa bungeni jijini Dodoma na Naibu Waziri …
Soma zaidi »TANZANIA YAPOKEA MSAADA WA SHILINGI BILIONI 68 KUTOKA UJERUMANI
Na. Farida Ramadhani na Peter Haule, WFM, Dar es Salaam Tanzania imepokea msaada wa Euro milioni 25 sawa na shilingi bilioni 67.82 kutoka Serikali ya Ujerumani kupitia Benki yake ya Maendeleo ya KfW, kwa ajili ya mradi wa Uhifadhi endelevu wa Maliasili na Mifumo ya Ikolojia nchini. Katibu Mkuu wa …
Soma zaidi »RAIS SAMIA ASIMIKWA RASMI KUWA MKUU WA MACHIFU TANZANIA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akivalishwa Mavazi ya Kimila kuwa Chifu Mkuu wa Machifu wote Tanzania na kuitwa jina la Hangaya yani ni Nyota inayong`aa, katika Tamasha la Utamaduni (Mila na Desturi zetu) lililofanyika leo Sept,08,2021 katika Viwanja vya Redcross Kisesa Magu, Mkoani Mwanza. …
Soma zaidi »TANZANIA, ZIMBABWE ZAKUTANA CAPE VERDE KUJADILI BIASHARA YA UWINDAJI WA KITALII
Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro amezitaka nchi za Afrika kuwa na kauli moja kuhusu taratibu na bei za wanyamapori katika biashara uwindaji wa kiutalii. Dkt. Ndumbaro ametoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza kwa nyakati tofauti katika vikao ana kwa ana na baadhi ya Mawaziri wa Utalii wa nchi …
Soma zaidi »MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI MKUTANO WA AFRICA – CARRICOM
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango akizungumza na washiriki mbalimbali ambao ni wakuu wa Nchi na Serikali wakati aposhiriki mkutano wa kwanza wa Afrika na Umoja wa Nchi za “Carribbean”(Africa – CARRICOM Summit) uliofanyika kwa njia ya mtandao. Septemba 7, 2021. Makamu wa …
Soma zaidi »