Maktaba ya Kila Siku: September 8, 2021

WAZIRI MKUU MAJALIWA: MAWAZIRI SIMAMIENI UJENZI WA OFISI ZENU MJI WA SERIKALI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewaagiza Mawaziri na Makatibu Wakuu wasimamie kikamilifu awamu ya pili ya mpango wa ujenzi wa Mji wa Serikali ulipo Mtumba jijini Dodoma ili ukamilike kwa wakati. Ametoa agizo hilo leo (Jumatano, Septemba 8, 2021) wakati akiongoza Kikao Kazi cha Mawaziri, Naibu Mawaziri, Makatibu Wakuu, Naibu Katibu Wakuu …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA ASIMIKWA RASMI KUWA MKUU WA MACHIFU TANZANIA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akivalishwa Mavazi ya Kimila kuwa  Chifu Mkuu wa Machifu wote Tanzania na kuitwa jina la Hangaya yani ni Nyota inayong`aa, katika Tamasha la Utamaduni (Mila na Desturi zetu) lililofanyika leo Sept,08,2021 katika Viwanja vya Redcross Kisesa Magu, Mkoani Mwanza. …

Soma zaidi »

TANZANIA, ZIMBABWE ZAKUTANA CAPE VERDE KUJADILI BIASHARA YA UWINDAJI WA KITALII

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro amezitaka nchi za Afrika kuwa na kauli moja kuhusu taratibu na bei  za wanyamapori  katika biashara uwindaji wa kiutalii. Dkt. Ndumbaro ametoa kauli hiyo alipokuwa akizungumza kwa nyakati tofauti katika vikao  ana  kwa ana na baadhi ya  Mawaziri wa Utalii wa nchi …

Soma zaidi »