Maktaba ya Kila Siku: September 10, 2021

UINGEREZA IMEIPONGEZA TANZANIA KWA KUBORESHA MAZINGIRA YA BIASHARA, UWEKEZAJI, HAKI ZA BINADAMU NA UTAWALA BORA

Uingereza imeipongeza Tanzania kwa jitihada zake za kuboresha mazingira ya biashara, uwekezaji, Haki za Binadamu na Utawala Bora, jambo ambalo limeimarisha ushirikiano baina ya Nchi hizo.  Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula (Mb) ameyasema hayo wakati wa mazungumzo kwa njia ya mtandao na …

Soma zaidi »

WAZIRI MKENDA AZITAKA BODI NA TAASISI KUHAMASISHA TIJA NA UZALISHAJI WA MAZAO

Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Dodoma Waziri wa Kilimo Mhe Prof. Adolf Mkenda (Mb) amempongeza Katibu Mkuu wa wizara ya Kilimo Ndg Andrew Massawe kwa kuzisimamia kwa weledi mkubwa Bodi na Taasisi zilizo chini yake hivyo kuendeleza uwajibikaji kuhakikisha kuwa sekta ya kilimo inaendelea kuimarika. Amesema kuwa wananchi wana imani …

Soma zaidi »

WAKANDARASI WASISITIZWA KUHESHIMU MIKATABA

Veronica Simba – Tabora Serikali imewataka Wakandarasi wanaotekeleza miradi ya umeme vijijini nchini kote kuheshimu makubaliano ya utendaji kazi yaliyoafikiwa baina ya pande hizo mbili kupitia mikataba waliyosaini. Wito huo ulitolewa na Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Wakili Julius Kalolo wakati akizungumza na Wakandarasi wanaotekeleza miradi hiyo Mkoa …

Soma zaidi »