Maktaba ya Kila Siku: September 15, 2021

SERIKALI YA AHIDI KUSIMAMIA KIKAMILIFU MKOPO NAFUU WA SHILINGI TRILIONI 1.3 ULIOTOLEWA NA IMF KUKABILIANA NA ATHARI ZA UVIKO -19

Waziri wa Fedha na Mipango Mheshimiwa Dkt. Mwigulu Lameck Ncgemba, amewahakikishia Wanzania kuwa Mkopo wenye masharti nafuu wa dola za Marekani milioni 567.3 sawa na shilingi trilioni 1.3 uliotolewa na Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF) kwa ajili ya kukabiliana na athari za Uviko-19 zitasimamiwa kikamilifu ili kuleta tija iliyokusudiwa. …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA MGENI RASMI TAMASHA LA MICHEZO LA WANAWAKE LA TANZANITE

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, anatarajiwa kuzindua Tamasha la Kwanza la Michezo la Wanawake la Tanzanite litakalofanyika katika viwanja vya Uhuru na Benjamin Mkapa jijini Dar es salaam kuanzia Septemba 16 hadi 18, 2021 huku uzinduzi rasmi ukifanyika Jumamosi, Septemba 18.  Katibu Mkuu Dkt. …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA APOKEA UJUMBE MAALUM KUTOKA KWA RAIS SALVA KIIR WA SUDAN KUSINI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mjumbe maalum kutoka kutoka kwa Rais Salva Kiir wa Sudani Kusini Balozi Albino Ayuel Aboug, aliyewasilisha Ujumbe maalum kutoka kwa Rais Salva Kiir, Ikulu Jijini Dar es salaam leo Septemba 15,2021. Rais wa  Jamhuri ya Muungano wa …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA – RAIS MWANAMKE TUTAMUWEKA 2025

Rais wa  Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, amewaomba wanawake  nchini kushikamana ili kuhakikisha wanamchagua mwanamke kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2025. Rais Samia amesema hayo tarehe 15 Septemba, 2021 wakati akihutubia kwenye maadhimisho ya  Siku ya Kimataifa ya Demokrasia …

Soma zaidi »

MKURUGENZI WA USAID TANZANIA AZUNGUMZA NA WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII

Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro ( kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Tanzania wa Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) ,Veeraya Kate Somvongsiri mara baada ya kufanya mazungumzo leo Jijini Dodoma ambapo pamoja na mengine wamezungumzia hatua ambazo Wizara ya Maliasili na …

Soma zaidi »