Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro ( kulia) akiwa katika picha ya pamoja na Mkurugenzi wa Tanzania wa Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) ,Veeraya Kate Somvongsiri mara baada ya kufanya mazungumzo leo Jijini Dodoma ambapo pamoja na mengine wamezungumzia hatua ambazo Wizara ya Maliasili na Utalii inazichukua katika kuwalinda watalii ili kuweza kukabiliana na tatizo la ugonjwa wa Corona Waziri wa Maliasili na Utalii, Dkt. Damas Ndumbaro ( kulia) akisistiza jambo wakati akiwa katika mazungumzo na Mkurugenzi wa Tanzania wa Shirika la Marekani la Maendeleo ya Kimataifa (USAID) ,Veeraya Kate Somvongsiri wakati alipomtembelea ofisini kwake leo Jijini Dodoma ambapo pamoja na mengine wamezungumzia hatua ambazo Wizara ya Maliasili na Utalii inazichukua katika kuwalinda watalii ili kuweza kukabiliana na tatizo la ugonjwa wa Corona