Maktaba ya Kila Siku: September 22, 2021

MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA KUSAFISHA DHAHABU CHA GEITA GOLD REFINERY

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Sarah Masasi ambaye ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Kiwanda cha Kusafisha Dhahabu cha Geita Gold Refinery kilichopo Mjini. Geita baada ya kukitembelea kiwanda hicho, Septemba 22, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu) Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata Maelezo kutoka kwa Meneja Uendeshaji wa …

Soma zaidi »

WIZARA YA AFYA YAKABIDHI MAGARI KWA AJILI YA UFUATILIAJI AFYA MAZINGIRA NA USAFI DODOMA

Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto, Dk. Dorothy Gwajima, amekabidhi magari kwa ajili ya ufuatiliaji wa shughuli za afya mazingira na usafi kwenye Mikoa sita nchini huku akiagiza yatumike kwa malengo yaliyokusudiwa.Dk.Gwajima ameyasema hayo leo jijini Dodoma alipokuwa akikabidhi magari hayo kwenye mikoa ya Kagera, Mara, …

Soma zaidi »

NAIBU WAZIRI DKT MABULA AITAKA CHEMBA KUANZA MKAKATI WA KUANDAA MPANGO KABAMBE

Na Munir Shemweta, CHEMBA Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Dkt Angeline Mabula ameitaka halmashauri ya wilaya ya Chemba mkoani Dodoma kuanza mikakati ya kuandaa Mpango Kabambe katika halamashauri hiyo. Dkt Mabula alisema hayo tarehe 21 Septemba 2021 wakati wa ziara yake ya kukagua utendaji kazi wa …

Soma zaidi »

BANDARI YA MTWARA KUTIMIKA KUSAFIRISHA KOROSHO – WAZIRI MKENDA

Waziri wa Kilimo, Prof Adolf Mkenda pamoja na Naibu Waziri, Hussein Bashe wakiwa wameongozana na viongozi wengine wa Serikali na Chama Cha Mapinduzi (CCM) wakikagua utayari wa bandari ya Mtwara kuelekea kuanza msimu wa uuzwaji wa korosho ambao unatarajiwa kuanza hivi karibuni wakati wa ziara ya Waziri Mkenda bandarini hapo, …

Soma zaidi »

PROF MKENDA ATAKA MIKAKATI UBANGUAJI KOROSHO KUFIKIA 60% IFIKAPO 2025

Na Mathias Canal, Wizara ya Kilimo-Mtwara Waziri wa Kilimo, Prof Adolf Mkenda amewataka wabanguaji zao la korosho kuja na mikakati  itakayowezesha zoezi hilo kufikia asilimia 60 au 100 ifikapo mwaka 2025. Waziri Mkenda ameyasema hayo mjini Mtwara wakati akizungumza na wadau wa ubanguaji Korosho kwenye mkutano uliofanyika katika ukumbi wa Benki …

Soma zaidi »