MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHA KUSAFISHA DHAHABU CHA GEITA GOLD REFINERY

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akiongozana na Sarah Masasi ambaye ni Afisa Mtendaji Mkuu wa Kiwanda cha Kusafisha Dhahabu cha Geita Gold Refinery kilichopo Mjini. Geita baada ya kukitembelea kiwanda hicho, Septemba 22, 2021. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipata Maelezo kutoka kwa Meneja Uendeshaji wa viwanda cha kusafisa Madini ya Dhahabu cha Geita Gold Refinery cha Mjini Geita, Ahmet Lyal (kushoto) wakati alipotembelea kiwanda hicho, Septemba 22, 2021. Kulia ni Afisa Mtendaji Mkuu wa kiwanda hicho, Sarah Masasi. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Ad

Unaweza kuangalia pia

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimfariji Katibu wa NEC (Uchumi na Fedha) wa Chama Cha Mapinduzi Dkt. Frank Hawassi kufuatia kifo cha Mke wake Bi. Damaris Hawassi wakati alipowasili kushiriki msiba huo Miyuji Jijini Dodoma

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *