WAZIRI MKENDA AAGIZA UTARATIBU WA UNUNUZI UZINGATIWE

Waziri wa Kilimo, Prof Adolf Mkenda akizungumza na wakazi wa kijiji cha Mgazini kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Peramiho mkoani Ruvuma alipofika kukagua zoezi la ununuzi wa mahindi baada ya serikali kutoa jumla ya Shilingi Bil. 50 kwa ajili ya ununuzi mahindi kutoka kwa wakulima.
Waziri wa Kilimo, Prof Adolf Mkenda akizungumza na wananchi katika soko la Makita lililopo Wilaya ya Mbinga mkoani Ruvuma wakati wa ziara yake ya kukagua zoezi la ununuzi wa mahindi na kuielekeza Wakala wa Taifa wa Hifadhi ya Chakula (NFRA) kuzingatia uadilifu na umakini katika zoezi hilo. Kulia ni Mkuu wa Mkoa huo, Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge.
Waziri wa Kilimo, Prof Adolf Mkenda akizungumza na wakazi wa kijiji cha Mgazini kilichopo Halmashauri ya Wilaya ya Peramiho mkoani Ruvuma alipofika kukagua zoezi la ununuzi wa mahindi baada ya serikali kutoa jumla ya Shilingi Bil. 50 kwa ajili ya ununuzi mahindi kutoka kwa wakulima.
Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, Balozi Brigedia Jenerali Wilbert Ibuge (mbele) akiwa ameongozana na Waziri wa Kilimo, Prof Adolf Mkenda wakitoka katika soko la Makita lililopo Wilaya ya Mbinga mkoani huko wakati wa ziara ya waziri Mkenda ya kukagua zoezi la ununuzi wa mahindi baada ya serikali kutoa jumla ya Shilingi Bil. 50 kwa ajili ya ununuzi wa mahindi kutoka kwa wakulima.

Ad

Unaweza kuangalia pia

MAKAMU WA RAIS ATEMBELEA MRADI WA MAJI SAME MWANGA KOROGWE

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Philip Mpango akimsikiliza Katibu Mkuu Wizara ya Maji Mhandisi Mwajuma Waziri kuhusu maendeleo ya ujenzi wa mradi wa maji Maji wa Same – Mwanga – Korogwe wakati alipotembelea chanzo cha mradi huo eneo la la Nyumba yaMungu Wilaya ya Mwanga wakati akiwa ziarani mkoani Kilimanjaro tarehe 21 Machi 2024. Makamu …

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *