Maktaba ya Kila Siku: September 24, 2021

WATANZANIA WATAKIWA KUCHANGAMKIA FURSA ZA MRADI WA BOMBA LA MAFUTA GHAFI

Na Dorina G. Makaya na Ebeneza Mollel Dar-es-salaam. Waziri wa Nishati, Mhe. January Yusuf Makamba, amewataka watanzania kuchangamkia fursa zitakazotokana na ujenzi wa bomba la mafuta ghafi kutoka Hoima nchini Uganda hadi Tanga, Tanzania ili kujiongezea kipato na utaalam kwani sehemu kubwa ya bomba linapita nchini Tanzania. Waziri Makamba ameyasema …

Soma zaidi »

TAASISI YA MOYO JAKAYA KIKWETE YATOA ELIMU YA CHANJO KWA WAFANYAKAZI WA BENKI YA MAENDELEO YA KILIMO TANZANIA (TADB)

Serikali imeandaa mpango wa jamii shirikishi na harakishi wa utoaji wa chanjo dhidi ya ugonjwa wa UVIKO – 19 kwa kuwafuata wananchi wanaohitaji huduma ya chanjo mahali walipo ili kuongeza kasi na kuwapa wananchi nafasi ya kuchanja. Hayo yamesemwa na Mganga Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Dkt.  Rashid …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA AHUTUBIA BARAZA KUU LA UMOJA WA MATAIFA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan, tarehe 23 Septemba, 2021 amehutubia Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa na kuihakikishia Jumuiya ya Kimataifa kuwa katika uongozi wake, Tanzania itaendelea kuwa mstari wa mbele katika kushirikiana na mataifa na wadau wengine duniani kutatua changamoto zinazoukabili ulimwengu hivi sasa. …

Soma zaidi »