Maktaba ya Kila Siku: September 30, 2021

RAIS SAMIA AHUTUBIA MKUTANO WA MASHIRIKA YASIYO YA KISERIKALI NGO’S NA AONGOZA WATANZANIA KUAGA MWILI WA OLE NASHA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akionesha Taarifa ya Kielektroniki ya Mashirika yasiyo ya Kiserikali NGO’s kwa maendeleo ya Taifa katika mkutano wa mwaka wa Jukwaa la Mashirika yasiyo ya Kiserikali Nchini (NGO’s) uliofanyika leo Sept 30,2021 katika ukumbi wa mikutano wa Jakaya Kikwete Jijji …

Soma zaidi »

DG MPYA REA ATAKA UTENDAJI KAZI WENYE BIDII, MAARIFA NA UADILIFU

Mwenyekiti wa Bodi ya Nishati Vijijini (REB), Wakili Julius Kalolo (kulia), akimtambulisha rasmi Mkurugenzi Mkuu mpya wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan Said kwa Wafanyakazi wa REA mara baada ya kukabidhiwa rasmi Ofisi, Septemba 29, 2021 Dodoma. Mkurugenzi Mkuu mpya wa Wakala wa Nishati Vijijini (REA), Mhandisi Hassan …

Soma zaidi »

SERIKALI YATOA VIFAA TIBA VYENYE THAMANI YA SHILINGI MILIONI 480 KWA HOSPITAL YA CHALINZE

Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania imetimiza ahadi zake zilizotolewa na Rais Samiah Suluhu Hassan kwa kupeleka Vifaa tiba Hospitali ya Wilaya ya Chalinze vyenye thamani ya Shilingi Milioni 480 ikiwemo mashine ya Kupiga picha za Mionzi yaani X-Ray, Jokofu la kuhifadhia maiti, mashine za kupimia damu na vifaa …

Soma zaidi »

VIWANDA VINA MCHANGO MKUBWA UKUAJI WA MAENDELEO KIUCHIMI – NAIBU WAZIRI KIGAHE

Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe akitoa salamu za Wizara baada ya Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa kuzindua Upanuzi wa Kiwanda cha Bia cha Serengeti (SBL) tawi la Moshi mkoani Kilimanjaro. Septemba 23, 2021 Naibu Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Exaud Kigahe ameeleza kuwa Viwanda vina …

Soma zaidi »

ANWANI ZA MAKAZI NA POSTIKODI IWE AJENDA YA KUDUMU KWENYE VIKAO VYA HALMASHAURI

Waziri Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Dkt. Ashatu Kijaji akizungumza na wajumbe wa ALAT inayojumuisha Mateus, Wenyeviti na Wakurugenzi wa Halmashauri nchini kuhusu utekelezaji na manufaa ya Anwani za Makazi na Postikodi katika semina iliyofanyika jijini Dodoma Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Dkt. Ashatu Kijaji …

Soma zaidi »