Na Munir Shemweta, WANMM DODOMA Mawaziri nane wa kisekta wakioongozwa na Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi kesho tarehe 5 Oktoba 2021 wataanza ziara ya mikoa kumi kwa ajili ya kutoa matokeo ya utatuzi wa migogoro ya matumizi ya ardhi katika vijiji 920. Akizungumza na Waandishi …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: October 4, 2021
RAIS SAMIA AZUNGUMZA KWA NJIA YA MTANDAO NA BW. BEN VAN BEURDEN AFISA MTENDAJI MKUU WA KAMPUNI YA ROYAL DUTCH SHELL
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, leo tarehe 04 Oktoba, 2021 amezungumza kwa njia ya mtandao na Bw. Ben Van Beurden Afisa Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya Royal Dutch Shell yenye makao yake makuu nchini Uholanzi. Bw. Van Beurden amemshukuru Mhe. Rais Samia na kueleza …
Soma zaidi »SERIKALI YAZIAGIZA TAASISI ZA FEDHA KUWAWEZESHA WAFANYABIASHARA VIJIJINI
Serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan imezungumza na taasisi za fedha na zile zinazosaidia kuwezesha wananchi kiuchumi ili kuwawezesha wafanyabiashara wa vijijini. Hatua hiyo itatatua changamoto ya upatikanaji wa kiwango kidogo cha fedha katika maeneo hayo hivyo kuwawezesha wafanyabishara wanaowekeza vijijini kuendelea. Hayo yamesemwa leo jijini Dodoma na Waziri Mkuu, …
Soma zaidi »SERIKALI KUFANYA SENSA YA NYUMBA NA MAJENGO
Na Munir Shemweta, DODOMA Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amesema Serikali iko katika maandalizi ya kufanya sensa ya nyumba na majengo kote nchini. Sensa hiyo itafanyika sanjari na Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika mwezi Oktoba, 2022. Akizungumza katika Maadhimisho ya Siku ya Makazi Duniani …
Soma zaidi »MWENYEKITI MTENDAJI WA SHELL ATETA NA BALOZI WA TANZANIA
Makamu wa Rais na Mwenyekiti Mtendaji wa Kampuni ya Shell ya Uholanzi mwenye makazi yake Tanzania, Bw. Jared Kuehl alitembelea Ubalozi wa Tanzania nchini Uholanzi na kufanya mazungumzo na Balozi wa Tanzania nchini humo, Irene Kasyanju hivi karibuni. Katika mazungumzo hayo, Pamoja na mambo mengine, Bw. Kuehl alimhakikishia Balozi Kasyanju …
Soma zaidi »WAZIRI NDAKI ABAINISHA UFUGAJI WA SAMAKI KUONGEZA MALIGHAFI VIWANDANI
Na. Edward Kondela Serikali imesema uwekezaji wa ufugaji wa samaki utasaidia kuongeza malighafi kwenye viwanda vya uchakataji wa samaki pamoja na kuanzisha viwanda vipya hususan katika Ukanda wa Bahari ya Hindi. Waziri wa Mifugo na Uvuvi Mhe. Mashimba Ndaki amesema hayo (02.10.2021) wakati alipotembelea shamba la ufugaji samaki linalomilikiwa na …
Soma zaidi »TANGULIZENI MASLAHI YA TAIFA – WAZIRI MKUU
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema mabalozi wanaoteuliwa kuiwakilisha Tanzania nje ya nchi wanapaswa kutanguliza maslahi ya Taifa katika utekelezaji wa majukumu yao. Amesema kuwa mabalozi hao wanapaswa kutekeleza falsafa ya Mheshimiwa Rais Samia ya kuona kazi zilizoratibiwa zinaendelea kutekelezwa kwa uadilifu mkubwa na uaminifu ili ziweze kutoa matokeo chanya katika …
Soma zaidi »