Na. Peter Haule, WFM, Dar es Salaam Tanzania imepokea msaada wa Krona za Sweden milioni 750 sawa na shilingi bilioni 196 kwa ajili ya kusaidia utekelezaji wa Awamu ya Pili ya Mpango wa Elimu kwa Matokeo unaohusu elimu ya Msingi (EPforR II). Mkataba wa Msaada huo umesainiwa jijini Dar es …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: October 5, 2021
RAIS SAMIA AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA MKURUGENZI MKUU WA BENKI YA KIARABU YA MAENDELEO AFRIKA BADEA.
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza na Mkurugenzi Mkuu wa Benki ya Kiarabu ya Maendeleo ya Kiuchumi Afrika (BADEA) Dkt. Sidi Ould Tah, Ikulu Chamwino Mkoani Dodoma leo tarehe 05 Octoba 2021. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akizungumza …
Soma zaidi »DKT. KIJAJI AKUTANA NA WAKUU WA TAASISI BAADA YA WIKI TATU TANGU KUAPISHWA KWAKE
Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Dkt. Zainab Chaula akizungumza wakati wa kikao kazi cha Waziri wa Wizara hiyo, Dkt. Ashatu Kikaji (kushoto) na wakuu wa taasisi zilizo chini ya Wizara hiyo (hawapo pichani) katika ukumbi wa Ofisi za Wizara hiyo zilizopo mji wa Serikali …
Soma zaidi »RAIS SAMIA AAGIZA KUPUNGUZWA TOZO ZA MAFUTA NCHINI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan ameelekeza kupunguzwa kwa tozo zinazotozwa na Taasisi mbalimbali katika bidhaa za mafuta hapa nchini zenye thamani ya shilingi Bilioni 102 kwa mwaka, kwa lengo la kupunguza bei za mafuta ili kuwapa unafuu wananchi. Rais Samia ametoa maagizo hayo tarehe 05 …
Soma zaidi »SERIKALI KUFANYA SENSA YA NYUMBA NA MAJENGO
Na Munir Shemweta, DODOMA Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi William Lukuvi amesema Serikali iko katika maandalizi ya kufanya sensa ya nyumba na majengo kote nchini. Sensa hiyo itafanyika sanjari na Sensa ya Watu na Makazi itakayofanyika mwezi Oktoba, 2022. Akizungumza katika Maadhimisho ya Siku ya Makazi Duniani …
Soma zaidi »SERIKALI KUFUNGA RADA SABA ZA HALI YA HEWA NCHINI
Mwenyekiti wa Bodi ya Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA), Dkt. Buruhani Nyenzi, akizungumza mbele ya Naibu Waziri wa Ujenzi na Uchukuzi, Mwita Waitara, wakati alipotembelea na kukagua utendaji kazi wa Mamlaka hiyo, jijini Dar es Salaam. Serikali imeingia mkataba kwa ajili ya ujenzi wa rada mbili za mwisho …
Soma zaidi »TUPO TAYARI KUFANYA KAZI NA ATOGS- WAZIRI MAKAMBA
Na Teresia Mhagama, DodomaWaziri wa Nishati, January Makamba ameeleza kuwa, Wizara ya Nishati ipo tayari kufanya kazi na Jumuiya ya Watoa Huduma katika Sekta ya Mafuta na Gesi (ATOGS) ili kuendelea kuwezesha wananchi kushiriki ipasavyo katika Sekta hiyo.Makamba alisema hayo tarehe 4 Oktoba, 2021 wakati alipofanya mazungumzo na Wajumbe wa …
Soma zaidi »