Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan, akiondoa Kitambaa kuzindua rasmi Jengo la Kituo Jumuishi cha Utoaji Haki katika eneo la National Capital City, Jijini Dodoma leo tarehe 06 Oktoba 2021. Wa pili kulia ni Jaji Mkuu wa Tanzania Prof. Ibrahim Juma, Jaji Mkuu wa Zanzibar …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: October 6, 2021
KIVUKO CHA MV. MAFANIKIO KUHUDUMIA HADI SAA 2 USIKU BADALA YA SAA 12. JIONI
Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Brig. Jen. Marco Gaguti ametoa agizo la kivuko MV Mafanikio kinachofanya safari zake kuanzia Feri hadi Msangamkuu kuwa kuanzia Oktoba 4, 2021 Kivuko hiko kitahudumia wananchi hadi saa mbili usiku badala ya saa 12 jioni ili kuruhusu wananchi hao kupata muda zaidi katika shughuli zao …
Soma zaidi »KIKAO CHA PILI CHA UJENZI WA MJI WA SERIKALI DODOMA
Wakurugenzi wa Utawala na Rasilimali watu wa Wizara zote wakifuatilia maelekezo yanayotolewa na Mratibu wa ujenzi wa Mji wa Serikali Dodoma na Katibu wa kuhamishia shughuli za Serikali Dodoma Bwana Meshack Bandawe,(Hayupo Pichani) kuhusu utekelezaji wa Ujenzi wa ofisi za Wizara za ghorofa zinazojengwa kwa awamu ya pili katika Mji …
Soma zaidi »DKT. HUSSEIN MWINYI AFURAHISHWA NA KASI YA UTATUZI WA CHANGAMOTO ZA MUUNGANO
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Hussein Mwinyi akizungumza wakati wa kikao na Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira), Mhe. Selemani Jafo na ujumbe wake walipotembelea leo tarehe 05 Oktober, 2021 Ikulu, Zanzibar. Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais …
Soma zaidi »RAIS SAMIA AMEDHAMIRIA KUTEKELEZA MRADI WA LNG – MAJALIWA
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan amedhamiria kwa dhati kuhakikisha kuwa mradi wa kusindika gesi asilia kuwa kimiminika (LNG) utakaogharimu Dola za Kimarekani bilioni 30 sawa na takriban shilingi trilioni 70, unaanza kazi ili kuleta manufaa kwa wananchi. Majaliwa ameyasema hayo (Jumanne, Oktoba 5, 2021) wakati akizungumza na wananchi katika …
Soma zaidi »SERIKALI YABAKISHA VIJIJI 40 VILIVYOKUWA MAENEO YA HIFADHI DODOMA
Na Munir Shemweta, WANMM CHEMBA Serikali imevibakisha vijiji 40 kati ya 42 ambavyo wananchi wake walikuwa wakiishi na kuendesha shughuli zao kwenye maeneo ya hifadhi na mapori ya akiba katika mkoa wa Dodoma. Hatua hiyo inalenga kuwawezesha wananchi wa vijiji hivyo kuendelea na shughuli zao baaada ya kuwepo mgogoro wa …
Soma zaidi »