Maktaba ya Kila Siku: October 6, 2021

KIVUKO CHA MV. MAFANIKIO KUHUDUMIA HADI SAA 2 USIKU BADALA YA SAA 12. JIONI

Mkuu wa Mkoa wa Mtwara Brig. Jen. Marco Gaguti ametoa agizo la kivuko MV Mafanikio kinachofanya safari zake kuanzia Feri hadi Msangamkuu kuwa kuanzia Oktoba 4, 2021 Kivuko hiko kitahudumia wananchi hadi saa mbili usiku badala ya saa 12 jioni ili kuruhusu wananchi hao kupata muda zaidi katika shughuli zao …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA AMEDHAMIRIA KUTEKELEZA MRADI WA LNG – MAJALIWA

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Rais Samia Suluhu Hassan amedhamiria kwa dhati kuhakikisha kuwa mradi wa kusindika gesi asilia kuwa kimiminika (LNG) utakaogharimu Dola za Kimarekani bilioni 30 sawa na takriban shilingi trilioni 70, unaanza kazi ili kuleta manufaa kwa wananchi. Majaliwa ameyasema hayo (Jumanne, Oktoba 5, 2021) wakati akizungumza na wananchi katika …

Soma zaidi »