Maktaba ya Kila Siku: March 22, 2022

RAIS SAMIA AKUTANA NA UJUMBE MAALUM WA MFALME WA SAUD ARABIA, AZINDUA MRADI WA MAJI CHALINZE, PWANI

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan akiwa katika mazungumzo na Mjumbe Maalum wa Mfalme wa Saudia Arabia, Mhe. Ahmed Abdulazizi Kattan mara baada ya kuwasili Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 22 Machi, 2022. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu …

Soma zaidi »

DKT. YONAZI AMELIKUMBUSHA JESHI LA POLISI WAJIBU WA KUJIFUNZA NA KUTOA ELIMU YA USALAMA MTANDAO

Mkurugenzi wa Upelelezi wa Makosa ya Jinai Nchini (DCI) CP Camilius Wambura akizungumza wakati wa mafunzo ya Usalama Mtandao kwa Wakuu wa Upelelezi wa Mikoa, Wakuu wa Vikosi na Wakuu wa Madawati ya Upelelezi wa Jeshi la Polisi (hawapo pichani), yaliyofanyika leo tarehe 21 Machi 2022, jijini Dodoma. Katibu Mkuu …

Soma zaidi »

RAIS SAMIA APOKEA TAARIFA YA KIKOSI KAZI CHA KURATIBU MAONI YA WADAU WA DEMOKRASIA YA VYAMA VINGI VYA SIASA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akizungumza na Wajumbe wa Kikosi Kazi cha kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa mara baada ya kupokea Taarifa yao Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 21 Machi, 2022 Rais wa Jamhuri ya Muungano …

Soma zaidi »