Maktaba ya Kila Siku: March 25, 2022

WAZIRI MAKAMBA AELEZA MAFANIKIO YA SEKTA YA NISHATI NA MIKAKATI YA KUENDELEZA SEKTA

Waziri wa Nishati, Mhe. January Makamba ametaja mafanikio mbalimbali ya Sekta ya Nishati yaliyofikiwa na Serikali ya Awamu ya Sita inayoongozwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe.Samia Suluhu Hassan. Mafanikio hayo aliyataja tarehe 24 Machi, 2022 wakati akizungumza na Wahariri wa Vyombo mbalimbali vya Habari na wanazuoni …

Soma zaidi »

WAZIRI NAPE AKUTANA NA KAMATI YA KUDUMU YA BUNGE YA MIUNDOMBINU DODOMA

Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Mha. Kundo Mathew (wa katikati) akifafanua jambo kwa Katibu Mkuu wa Wizara hiyo, Dkt. Jim Yonazi (kushoto) wakati wa kikao cha kuwasilisha taarifa ya utekelezaji ya Wizara hiyo ya mwaka wa fedha 2021/2022 na bajeti ya mwaka wa fedha 2022/2023 …

Soma zaidi »

TANZANIA KUISAIDIA MSUMBIJI KUKOMESHA VITENDO VYA KIGAIDI

Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema kuwa Tanzania itandelea kuwa mstari wa mbele kuisaidia nchi ya Msumbiji katika kukabiliana na vitendo ya kigaidi katika nchi hiyo. Ameyasema hayo leo (Alhamisi, Machi 24, 2022) alipomuwakilisha Rais  Samia Suluhu Hassan kwenye mkutano wa kujadili usalama katika eneo la Kusini Mashariki mwa Afrika hususan nchini …

Soma zaidi »

WAZIRI MULAMULA AMUAGA BALOZI WA UGANDA

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Balozi Liberata Mulamula amemuaga Balozi wa Unganda nchini Richard Kabonero ambaye amemaliza muda wake wa uwakilishi hapa nchini katika Ofisi Ndogo za Wizara Jijini Dar es Salaam. Akizungumza katika tukio hilo Waziri Mulamula amempongeza Balozi Kabonero kwa kazi nzuri aliyoifanya …

Soma zaidi »