Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akizungumza na kuagana na Waziri wa Nchi, Wizara ya Mambo ya Nje ya Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Mhe. Katja Keul mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 11 Aprili, 2022. Rais wa Jamhuri …
Soma zaidi »Maktaba ya Mwezi: April 2022
RAIS SAMIA SULUHU AKUTANA NA KUZUNGUMZA NA WAZIRI WA NCHI, WIZARA YA MAMBO YA NJE YA SHIRIKISHO LA JAMHURI YA UJERUMANI
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Samia Suluhu Hassan, akizungumza na kuagana na Waziri wa Nchi, Wizara ya Mambo ya Nje ya Shirikisho la Jamhuri ya Ujerumani Mhe. Katja Keul mara baada ya mazungumzo yao Ikulu Jijini Dar es Salaam leo tarehe 11 Aprili, 2022. Rais wa Jamhuri …
Soma zaidi »NEMC YAANDAA MKUTANO WA KAMATI YA TAIFA YA BINADAMU NA HIFADHI HAI
Baraza la Taifa la Hifadhi na Usimamizi wa Mazingira (NEMC) limeandaa Mkutano wa kupitia na kuidhinisha uteuzi wa eneo la Rufiji, Mafia, Kibiti na Kilwa(RUMAKI) kuingia katika mtandao wa dunia wa binadamu na Hifadhi hai. Mkutano huo umefunguliwa na Dkt Menan Jangu aliyemuwakilisha Mkurugenzi Mkuu wa NEMC na umefanyika mjini …
Soma zaidi »KIKAO UIMARISHAJI MPAKA TZ NA KENYA CHAANZA TARIME
Na Munir Shemweta, WANMM TARIME Kikao cha Kamati ya pamoja ya Wataalamu wa mipaka kati ya Tanzania na Kenya kimeanza leo tarehe 11 April 2022 wilayani Tarime mkoa wa Mara. Kikao hicho cha Kamati ya Pamoja kati ya nchi hizo mbili kinachotarajiwa kumalizika April 15, 2022 wilayani humo kitapokea mawasilisho ya …
Soma zaidi »KWA MARA YA KWANZA WATAALAMU WAZAWA WAZIBUA MISHIPA PACHA YA MOYO ILIYOZIBA KWA ASILIMIA 95
Kwa mara ya kwanza wataalamu wazawa wa magonjwa ya moyo na wazibuaji wa mishipa ya damu ya moyo wa Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) wamezibua mishipa miwili iliyokuwa inapeleka damu kwa wakati mmoja kwenye moyo (mishipa pacha ya damu – bifurcation lesion) ambayo ilikuwa imeziba kwa asilimia 95 na …
Soma zaidi »TOFAUTI YA SENSA YA MWAKA 2022 NA SENSA ZILIZOPITA
Tofauti ya Sensa ya Mwaka 2022 na Sensa zilizopita:-Katika sensa ya mwaka 2022 inatarajiwa kuwa na vitu vipya kama vile;• Kutenga maeneo ya kijiografia ya kuhesabia watu katika ngazi za kitongoji/mtaa na upatikanaji wa taarifa za kitakwimu katika ngazi za kitongoji/mtaa pamoja na kuwa na mipaka ya kudumu katika ngazi …
Soma zaidi »TANZANIA, UJERUMANI KUSHIRIKIANA KUBORESHA UTAMADUNI
Serikali ya Tanzania pamoja na Shirikisho la Ujerumani zimekubaliana kuongeza ushirikiano katika kuboresha Utamaduni na Malikale ili kuendelea kuhifadhi urithi wa historia ya nchi kwa faida ya kizazi kilichopo na kijacho. Ahadi hiyo imetolewa na Waziri wa Nchi katika Wizara ya Mambo ya Nje ya Shirikisho la Ujerumani Mhe. Katja …
Soma zaidi »WAZIRI NAPE AANZA ZIARA KUKAGUA MWENENDO WA OPERESHENI ANWANI ZA MAKAZI
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Nape Nnauye leo ameanza ziara ya kukagua na kuhamasisha utekelezaji wa Operesheni ya Anwani za Makazi katika mikoa ya Tanga, Kilimanjaro na Arusha Akizungumza na waandishi wa habari kabla ya kuanza ziara hiyo jijini Dodoma, Waziri Nape amesema tathmini inaonesha utekelezaji …
Soma zaidi »