Ufunguzi rasmi wa vifaa tiba katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mjini Magharibi Lumumba Zanzibar na kuhudhuriwa na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan tarehe 10 Januari, 2024. Ongezeko la vifaa tiba bora na vyakisasa katika Hospitali hii kutachangia Nini? Kuboresha Huduma za Afya Ufunguzi …
Soma zaidi »Maktaba ya Kila Siku: January 10, 2024
Mwenyekiti wa Chama cha Mapinduzi (CCM) na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akisalimiana na Jesca Magufuli mtoto wa Rais wa Awamu ya Tano Hayati John Pombe Magufuli mara baada ya kuhutubia Vijana wa UVCCM wakati wa.
Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) Mhe. Dkt. Tulia Ackson, leo tarehe 10 Januari, 2024 ameongoza kikao cha Kamati ya Uongozi ya IPU kinachojumuisha Wajumbe kutoka nchi 18 Duniani, kilichofanyika kwa njia ya mtandao.
Vifaa tiba katika Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mjini Magharibi Lumumba Zanzibar kama linavyoonekana baada ya kufunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
Mandhari ya Nje Ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mjini Magharibi Lumumba Zanzibar kama linavyoonekana baada ya kufunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
Mandhari ya ndani ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mjini Magharibi Lumumba Zanzibar kama linavyoonekana baada ya kufunguliwa rasmi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akimwagilia mti maji mara baada ya ufunguzi wa Hospitali ya Hospitali ya Rufaa ya Mkoa, Mjini Magharibi Lumumba Zanzibar.
RAIS DKT. SAMIA SULUHU HASSAN AFUNGUA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOA WA MJINI MAGHARIBI-ZANZIBAR
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Daktari. Samia Suluhu Hassan, amefungua rasmi Hospitali ya Rufaa ya Mkoa wa Mjini Magharibi iliyopo Lumumba Kisiwani Zanzibar. Rais Dkt. Samia amefungua hospitali hiyo leo tarehe 10 Januari, 2024 ikiwa ni muendelezo wa Ziara yake Kisiwani humo katika kuelekea Maadhimisho ya Mapinduzi Matukufu …
Soma zaidi »