Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania (CDF) Jenerali Jacob Mkunda kabla ya kufungua mkutano wa Makamanda kwa mwaka 2023 uliofanyika Lugalo Jijini Dar